Egypt imeigeukia kubembeleza Congo DRC Baada ya Ethiopia Kudinda kuhusu Bwawa la Umeme

Ni sawa tu kwamba waliwaletea dini lakini historia ya uovu waliowafanyia mababu zetu kamwe haitasahaulika katu. Ni moja ya jamii ya watu wakatili sana, angalia hata tawala zao zilivyo.
 
Unachoshangaa nini haswaa mkuu,, unataka kila mtu awe upande wa ethiopia!!! unadhani wakifungiwa hayo maji wataishije! Mungu awasaidie egypt.
 
Ni sawa tu kwamba waliwaletea dini lakini historia ya uovu waliowafanyia mababu zetu kamwe haitasahaulika katu. Ni moja ya jamii ya watu wakatili sana, angalia hata tawala zao zilivyo.

وَلَنْ تَرْضَىٰ عَنْكَ الْيَهُودُ وَلَا النَّصَارَىٰ حَتَّىٰ تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمْ ۗ قُلْ إِنَّ هُدَى اللَّهِ هُوَ الْهُدَىٰ ۗ وَلَئِنِ اتَّبَعْتَ أَهْوَاءَهُمْ بَعْدَ الَّذِي جَاءَكَ مِنَ الْعِلْمِ ۙ مَا لَكَ مِنَ اللَّهِ مِنْ وَلِيٍّ وَلَا نَصِيرٍ

(2:120) And never will the Jews or the Christians approve of you until you follow their religion. Say, “Indeed, the guidance of Allah is the [only] guidance.” If you were to follow their desires after what has come to you of knowledge, you would have against Allah no protector or helper.

Wakati wanawafanyiwa uovu babu zako ulikuwepo?
 
Sikuwepo. So what....!!
 
Egypt upande wa pili wana roho mbaya wajuvi maneno mengii na choyo kwa wengine....
Waziri mkuu wa Ethiopia kapita nchi moja baada ya nyengine kuwa kumbusha lile balaa la njaa lililo wakumba kiasi mapaka Michael Jackson akaimba juu lile balaa ni hatari...
 
Hii ndio lugha inayotamba kote duniani, kutoifahamu kwako wewe haituhusu wengine.

Wewe na nani haiwahusu 🤣 halafu Imekusaidia nini hiyo lugha, c ni lugha tu kama zingine!!!! Munajifanya mmeenda shule mnaangukia kuajiriwa kwa wasioenda shule na wengine hutegemea wazazi wawahudumie🤣🤣
Mbona wapo na tunawaona sasa waliopelekwa Asia na hao waarabu wenyewe wako wapi? Ndicho ninachouliza.

Hujui unachokiongea,, ninyi ndiyo bendera fuata upepo au wafuata mkumbo 😁😁😁 halafu kijana acha chuki kwa waarabu. Hao ndiyo wamekuletea ustaarabu kijana.
 
Sasa kukata watu vichwa ndio ustaarabu.
 
Hili swala la maji ya mto Nile naona litawasumbua sana waarabu, wao watafute tu namna nyingine kwani waethiopia wana haki kabisa ya kutumia maji yaliyomo ndani ya nchi yao.
Sure mkuu, huwezi kufa na njaa mvua haijashuka ipasavyo wakati maji unayaona yanapita upenuni kwako ambayo unaweza kufanya kilimo cha umwagiliaji. Kama mvua itanyesha ipasavyo hakuna shida tutayaacha yaende. Egypt hawatakiwi kutumia ubabe . washirikiane na nchi ambapo mto unatokea na kupita kupeana mbadala wakutoathiri maji ya mto nile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…