Egypt imeigeukia kubembeleza Congo DRC Baada ya Ethiopia Kudinda kuhusu Bwawa la Umeme

Wachimbe chini ya Jangwa la Sahahara kama alivyofanya Ghadafi huenda kuna maji kule
Lakini pia wana bahari ya mediterannian, wafanye desalination
Wakongo wakiuza maji itakuwa jambo la ajabu sana maana huo mkataba utadumu miaka mingi sana na itakuwa vigumu kuusitisha
 
Bado nipo Bethelem,ni ndugai sio mimi
 
Uchimbwe mtaro lake Victoria ulete maji huku kwengine[emoji28][emoji28]
 
Ethiopia kuna kinchi kinampa kiburi aise 😅 Mungu amsaidie misry afanikishe mipango yake.
 
Duuuuh😳
 
Eti anamaanisha, kwakuwa babu zako hawakuwa na dini hizo, walistahili kuwa watumwa na mateka wa waarabu, ndo swali la wewe ulikuwepo linapoanzia! Nadhani anamaanisha kuwa wazee walikuwa makafir.

Nimekusaidia tu, simo!
Kwani imesemwa wapi kwamba dini lazima ziwe ni hizo tu zilizoletwa.
 
Egypt hapendi weusi
Tatizo hao waarabu wamekaa nchi ambayo sio yao. Ulisoma history ya kush na kemet miaka hiyo walikuwa kama ndugu. They shared everything na hata vita walisaidiana. But since Kemet ilipoanguka kwa kuvamiwa na Romans na Greece then wakaja hao Arabs basi wamejikuta wa naishi na Blacks ilihali hawana love kwa watu weusi. That's why shida unayoiona now. Hiyo ishu yao ya kuchepusha kutoka mto kongo ndo wataharibu kabisa hao wahuni. Watulie tu wabadli maji ya bahari wanywe.
 
Si watapata pesa shida iko wapi? Kuna Eswatini na Msumbiji kama sikosei wanauza maji South Africa
 
Wakichepusha maji ya mto Kongo , watashangaa maji ya mto Nile yatakapomiminika kuelekea Bahari ya Atlantic.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…