Wadau wa Chit-Chat nikwamba mja(Mora) kaniona nimeweza kuunganishwa na @ amu, baada ya nivea kuwa mtoro katika sherehe tunazoalikwa siku ya kuwambia mtajulishwa ila kama kuna mwenye pingamizi tumetoa siku 9!siku ya sherehe ya utambulisho lasimi mtajulishwa baada ya siku 9.
CC; Madame B, Paloma, Ruttashobolwa, gfsonwin, Kaizer, Mtambuzi, Jesca, kipaji halisi, Asprin, kipaji halisi, Bujibuji, amu, Kijino, cacico, marejesho, Erickb52, TANMO, Preta, mtu chake
Nina kesi bwana wee usinizbie ridhiki mie looo sina ndoa humu atiii
Umesahau kuwa mimi nivea siachwi huwa naacha na sinilisha kuacha nikakukabidhi kwa charminglady ahangaike na wewe!ukome kunifuatilia fuatilia
Mamy usuwe na ghadhabu coz unamda wakuweka pingamizi na ukaendelea kujimilikia mkia wakoz!Umesahau kuwa mimi nivea siachwi huwa naacha na sinilisha kuacha nikakukabidhi kwa charminglady ahangaike na wewe!ukome kunifuatilia fuatilia
Hivi leo ni jumangapi vile?:glasses-nerdy::glasses-nerdy:
Oyaaa... nenda kanisani kasali. Mwisho wa dunia unakaribia.Leo, jumapili alfajiri
Oyaaa... nenda kanisani kasali. Mwisho wa dunia unakaribia.