Ehee mja kaniona Birthday ya Paloma imenipa tumaini jipya!

KakaKiiza nilikuja jana nikuone lakini ulikuwa hujafika. Nikaacha salamu kwa Madame B azifikishe. Niliondoka mapema kabla Mwanaizaya Asprin hajaja . . . . See u next time.
Hehehehehe bora uliondoka mapema, Mwanaizaya..... lazima ungeniharibia. Na ulikoelekea nlishakujua kabla sijafika. Shenzy zako mia tatu na nusu wallah!

Halafu wee mbayaaa.. Ndio nini ukanichunia jana...Hata salaamu...
He! He! He! Usithubutu kukutwa!!!! Usije ukasema sijakuonya! Na ikawaje jana ukanizimia simu mchumba?
 
unaruhusiwa so long as morning glory was btn you and Paw na siyo you Asprin. hata menu unaruhusiwa baada ya ya 30 mints kupita lkn sio umetoka kueka tonge nyama halafu unakuja kutaka kukomnika utamtapikia padre bureee.
Keleuwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!

CC: King'asti (Usisikilize ya watu mama)
 
Last edited by a moderator:
Hehehehehe bora uliondoka mapema, Mwanaizaya..... lazima ungeniharibia. Na ulikoelekea nlishakujua kabla sijafika. Shenzy zako mia tatu na nusu wallah!

He! He! He! Usithubutu kukutwa!!!! Usije ukasema sijakuonya! Na ikawaje jana ukanizimia simu mchumba?
Sasa mbona unanitisha???Kwani Superman ni ziraili??
Kuhus kuzimiwa simu hilo ni trailer tu picha kamili bado.. Ni maandalizi ya life ban..sababu unazijua japo unaruhusiwa kukata rufaa kwa Baba V
 
Haaaa haaa Mwanaizaya Babu@Asprin mbona unakiogopa kivuli chako? Mimi siwezi kukuharibia ila sema Totoz angekutosa tu. Mi nilirudi home nilipotoka hapo, my Beautiful Onyinye alikuwa ananisubiri. Napenda vitu Original.

Zion Daughter asikutishe huyu Kibabu. Ndo maana ulimzimia simu maana hasomeki.
 
Last edited by a moderator:
nivea hebu acha uchonganishi... mimi huyuhuyu??!! Sitakki kuwa chanzo cha kuvunjika kwa ndoa yako.... Bibi untueeee eeeeh!!!!"""
umesahau ulimwita ukamtongoza eti aniage anakwenda kusoma miaka 7 ,kumbe mnaishi wote,then akimaliza hiyo saba aseme ameunganisha tena ili nichoke nijiondokee zangu wewe umiliki hahaha nilikutulia pwaaaa shost angu nilivokuwa natafuta wakumpa hahahhaha ndio huwa sitaniwi shamkupa kama humtaki mpe amu kwa mikono miwili
 
Last edited by a moderator:
Sasa mbona unanitisha???Kwani Superman ni ziraili??
Kuhus kuzimiwa simu hilo ni trailer tu picha kamili bado.. Ni maandalizi ya life ban..sababu unazijua japo unaruhusiwa kukata rufaa kwa Baba V

Unajua hiki Kibabu cha dot.Com Mwanaizaya Asprin alishafundishwa tabia Mbaya na Nyani Ngabu. Aliposhinda ile tuzo ya magumbashi kwa kutumia ID zake nyingi Invisible akachelewa kumpa zawadi yake. Akanipigia kelele mimi nikaona ngoja nimpe Charter ambayo anaitumia vibaya kutongoza mabinti na kuwaharibu. Hicho ndo kisa cha kumwita Mwanaizaya.

Kama vipi mpige Life Ban. Afterall pengo lake linazibika kirahisi tu. I will be there for you.
 
Last edited by a moderator:
Haaaa haaa Mwanaizaya Babu@Asprin mbona unakiogopa kivuli chako? Mimi siwezi kukuharibia ila sema Totoz angekutosa tu. Mi nilirudi home nilipotoka hapo, my Beautiful Onyinye alikuwa ananisubiri. Napenda vitu Original.

Zion Daughter asikutishe huyu Kibabu. Ndo maana ulimzimia simu maana hasomeki.
Heheheheh..... najua kuna watu watakuwa hawajakuelewa hapo kwa blue. Ila mie babu nlikula chumvi nshakuelewa saa miiiiingi....

Kuhusu mchumba Zion Daughter ewe bazazi mwanaizaya, kikombe alichonipa baba, sitakinywa?
 
Last edited by a moderator:
Unajua hiki Kibabu cha dot.Com Mwanaizaya Asprin alishafundishwa tabia Mbaya na Nyani Ngabu. Aliposhinda ile tuzo ya magumbashi kwa kutumia ID zake nyingi Invisible akachelewa kumpa zawadi yake. Akanipigia kelele mimi nikaona ngoja nimpe Charter ambayo anaitumia vibaya kutongoza mabinti na kuwaharibu. Hicho ndo kisa cha kumwita Mwanaizaya.

Kama vipi mpige Life Ban. Afterall pengo lake linazibika kirahisi tu. I will be there for you.
Afu nakwambia hiviiii....
niondolee huu umbwiga wa sijui mgold member ulonihonga na Mubyazi. Umenifanya sasa hawa mabinti niwakague kwa gharama kuuuuubwa wakati nlikuwa najikagulia kama amateur mkaguzi.

Narudia tena mi siyo Gold Member bali Senior Expert Member. FYI SEM ana heshima kuliko ujingaujinga wa GM. Hawa dagaa dagaa wakishaona neno "Expert" baaaaasi ushamalizamo kila kitu. Gold kitu gani bana wakati wanazivaa kiunoni??
 
Unajua hiki Kibabu cha dot.Com Mwanaizaya Asprin alishafundishwa tabia Mbaya na Nyani Ngabu. Aliposhinda ile tuzo ya magumbashi kwa kutumia ID zake nyingi Invisible akachelewa kumpa zawadi yake. Akanipigia kelele mimi nikaona ngoja nimpe Charter ambayo anaitumia vibaya kutongoza mabinti na kuwaharibu. Hicho ndo kisa cha kumwita Mwanaizaya.

Kama vipi mpige Life Ban. Afterall pengo lake linazibika kirahisi tu. I will be there for you.
Nakuamini..Huyu babu Asprin hata hasomeki kabisaaa.

Heheheheh..... najua kuna watu watakuwa hawajakuelewa hapo kwa blue. Ila mie babu nlikula chumvi nshakuelewa saa miiiiingi....

Kuhusu mchumba Zion Daughter ewe bazazi mwanaizaya, kikombe alichonipa baba, sitakinywa?

Kosa lako halisameheki.. Kwanza baba yangu Mwita Maranya alishakukataza tabia zako za kuniita mchumba
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom