Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
Mie, nipo jukwaa la dini huku napeluzi neno!
Oyaaa... nenda kanisani kasali. Mwisho wa dunia unakaribia.
Oyaaa... nenda kanisani kasali. Mwisho wa dunia unakaribia.
Imeandikwa usimjaribu Bwana Mungu wako.Kwani wewe ibada unaingiza humu jf?
Afu nikuulize. Hivi mara baada ya morning glory, ukifika church unaruhusiwa ekaristi? Kuna mtu aliniambia about chakula nikajiuliza sasa nanihii je?
Kwani wewe ibada unaingiza humu jf?
Afu nikuulize. Hivi mara baada ya morning glory, ukifika church unaruhusiwa ekaristi? Kuna mtu aliniambia about chakula nikajiuliza sasa nanihii je?
Imeandikwa usimjaribu Bwana Mungu wako.
Madam B kawaida mdogo wako niko hapa nje ya bar nitoe usafiri wa bodaboda kwq wale wasio na usafiri
Hahahaha!
Ofcoz morning glory ni exclusively kwa ajili ya Paw. Asante mwalimu.
Sasa njaa ya morning glory si unaijua, shurti kiporo cha ubwabwa na maharagwe lol.
Umesahau kuwa mimi nivea siachwi huwa naacha na sinilisha kuacha nikakukabidhi kwa charminglady ahangaike na wewe!ukome kunifuatilia fuatilia
Duuu.Nilikuwepo eneo la tukio lakini nilipitwa. Naona unafuata nyayo za kudumisha mila za Kaizer na Asprin my x mchumba.Wadau wa Chit-Chat nikwamba mja(Mora) kaniona nimeweza kuunganishwa na amu, baada ya nivea kuwa mtoro katika sherehe tunazoalikwa siku ya kuwambia mtajulishwa ila kama kuna mwenye pingamizi tumetoa siku 9!siku ya sherehe ya utambulisho lasimi mtajulishwa baada ya siku 9.
CC; Madame B, Paloma, Ruttashobolwa, gfsonwin, Kaizer, Mtambuzi, Jesca, kipaji halisi, Asprin, kipaji halisi, Bujibuji, amu, Kijino, cacico, marejesho, Erickb52, TANMO, Preta, mtu chake watu8
Labda ungenipofusha mie ili nisimuome Paw wangu yuko wapi. Paw ndo kigoma mwisho wa reli kaka. Hata apofuke, akatwe mikono yote na miguu, na hata akatwe nanilii! King'asti wa Paw, and even death cant separate us! Aki-rip sihitaji ndoa tenaaaaa!
Hivi leo ni jumangapi vile?:glasses-nerdy::glasses-nerdy: