Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,487
- 96,981
Kweli na hakika kabisa, Mazalia ya Kibwetere bado yanatamalaki juu ya uso taradidi wa dunia. Tukeshe tukiomba.Babuuuuuu sema babuuu Asprin; umeshatoswa hivyo. japo kishaingia kwenye 18 zangu mimi sina tabia kama zako babuu.
Mpango mzima hapa ni kufanya marching kwenda Zion mji wake Bwana huku tukiimba Haleluya.
Ewe Mwanaizaya uliyelaaniwa na Mungu, kwani hujui tumtegemeao bwana hatutatikisika kama mlima Sayuni?
Ole wako siku ile inakuja ambayo mwili wako utakuwa kuni za kuwachomea wenye dhambi lakini usiteketee.
Bwana akwita sasa. Lete sadaka na zaka kwangu nami nitahakikisha ufalme unauona!
CC: KakaKiiza
BCC: Kaizer
Last edited by a moderator: