Ehee mja kaniona Birthday ya Paloma imenipa tumaini jipya!

KakaKiiza nilikuja jana nikuone lakini ulikuwa hujafika. Nikaacha salamu kwa Madame B azifikishe. Niliondoka mapema kabla Mwanaizaya Asprin hajaja . . . . See u next time.

Superman my Doctor, KakaKiiza mbona nilimwambia!
Sema alibugia vitoti kadhaa vya Grant's,hvo akili ilimpaa.
Afu zile tips zote zimenitoka.
P'se jongea PM, unianziemo awali,nakumbuka moja tu.
CC: Mgoni Asprin asisome.
 
Last edited by a moderator:
Mamy usuwe na ghadhabu coz unamda wakuweka pingamizi na ukaendelea kujimilikia mkia wakoz!
KakaKiiza hujambo lakini ,ndio najifunza kukusahau mwenzio vipi huko kuna mabashasha eeee kuliko mimi eeeee amu jilie tu mpenzi ila kumbukeni kufuatilia talaka yangu maana itageuka kuwa sabatical leave ya 1year.
 
Last edited by a moderator:
KakaKiiza nilikuja jana nikuone lakini ulikuwa hujafika. Nikaacha salamu kwa Madame B azifikishe. Niliondoka mapema kabla Mwanaizaya Asprin hajaja . . . . See u next time.
Madame B nilikuta amesinzia kwenye kiti sasa sijui alikuwa anatunga sheria na sijui aliondoka vipi maana sikumuona baada ya mda na sidhani kama alijua nimefika....ila nilipewa taarifa zako na Paloma!ila usihofu @assprin tunaanda kakwetu natumaini mkuu utakuwa mwenyekiti wa kamati zote!Ila nilipata samu lukuki kutoka kwa Asprin
 
Superman my Doctor, KakaKiiza mbona nilimwambia!
Sema alibugia vitoti kadhaa vya Grant's,hvo akili ilimpaa.
Afu zile tips zote zimenitoka.
P'se jongea PM, unianziemo awali,nakumbuka moja tu.
CC: Mgoni Asprin asisome.

Poa. KakaKiiza namtafuta tufanye Ujasiliamali fulani.

Wewe mgonjwa hauko serious kwa kweli. Itabidi nilkufanyie operation sasa bila Nurse kuwepo. Weka appointment.

karibu any time.
 
Last edited by a moderator:
Heheheheh..... najua kuna watu watakuwa hawajakuelewa hapo kwa blue. Ila mie babu nlikula chumvi nshakuelewa saa miiiiingi....

Kuhusu mchumba Zion Daughter ewe bazazi mwanaizaya, kikombe alichonipa baba, sitakinywa?

Mwanaizaya Asprin una nini nami? Haikukupasa kunishukuru kwa kila jambo hasa baada ya kukusaidia sana Umauti ulipotaka kukufika? Kwa nini kila jambo langu walitasiri utakavyo wewe na si kama walielewavyo wana JF?
Zion Daughter ameshasema anakumudu na bado alikuzimia simu.
 
Last edited by a moderator:

Haaaa haaaaa huajibu hoja. GM ngoja nimwambie nanihii . . . .
 

Mkuu Babu Mwanaizaya Asprin sikuonana naye mbona?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Babu Mwanaizaya Asprin sikuonana naye mbona?
Hehehehe! Tangu lini Bazazi akamuona mwana mdogo wa Mungu?

Siunajua backbenchers uja saa za majeruhi mshatumia nguvu nyingi kulainisha mitambo wao wanakuja kiulaiini wanasukumiza!!huyo ndo Asprin
Hehehehehehe! usinifanye nikamwaga siri ya matendo yako makuu yasiyo stahili kwenye jumuiya ya wacha Mungu....

Hakika Asprin Ni Mwanaizaya halisi! Na wote waseme naam na iwe hivyo!
Ole wake apanuaye kinywa chake kumsema vibaya mteule wa Mungu...... Kikombe alichonipa baba sitakinywa?

Mbaya zaidi akabaki ila sijajua alibaki na ndege ipi ngoja ni review back ntakuja na jibu hapa!
Sasa hapo ndipo unapokosea sasa. Hivi ulimwona Kaizer alivokuwa anamsindikiza Madame B?
 
Last edited by a moderator:
Nakuamini..Huyu babu Asprin hata hasomeki kabisaaa.
Kosa lako halisameheki.. Kwanza baba yangu Mwita Maranya alishakukataza tabia zako za kuniita mchumba
Nilishajua tu. Huyu Bazazi akishaingia kwenye maisha yangu lazima unitose. Ila amin amin nakuambia, utakuja juta kwa karibu na bazazi Superman.
 
Last edited by a moderator:
Superman my Doctor, KakaKiiza mbona nilimwambia!
Sema alibugia vitoti kadhaa vya Grant's,hvo akili ilimpaa.
Afu zile tips zote zimenitoka.
P'se jongea PM, unianziemo awali,nakumbuka moja tu.
CC: Mgoni Asprin asisome.

hehehehe Asprin mgoni? hili balaaa kubwa

mwalimu Madame B nakusalimu

Ndio, ni mgoni balaa.

Me sijambo mwanafunzi wangu Kaizer!
Vp ar u there or not?
:becky::becky::becky::confused2::confused2::confused2:
 
Nilishajua tu. Huyu Bazazi akishaingia kwenye maisha yangu lazima unitose. Ila amin amin nakuambia, utakuja juta kwa karibu na bazazi Superman.

Babuuuuuu sema babuuu Asprin; umeshatoswa hivyo. japo kishaingia kwenye 18 zangu mimi sina tabia kama zako babuu.

Mpango mzima hapa ni kufanya marching kwenda Zion mji wake Bwana huku tukiimba Haleluya.

Ewe Mwanaizaya uliyelaaniwa na Mungu, kwani hujui tumtegemeao bwana hatutatikisika kama mlima Sayuni?

Ole wako siku ile inakuja ambayo mwili wako utakuwa kuni za kuwachomea wenye dhambi lakini usiteketee.

Bwana akwita sasa. Lete sadaka na zaka kwangu nami nitahakikisha ufalme unauona!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…