Ehee mja kaniona Birthday ya Paloma imenipa tumaini jipya!

Kweli na hakika kabisa, Mazalia ya Kibwetere bado yanatamalaki juu ya uso taradidi wa dunia. Tukeshe tukiomba.

CC: KakaKiiza
BCC: Kaizer
 
Last edited by a moderator:
Nilishajua tu. Huyu Bazazi akishaingia kwenye maisha yangu lazima unitose. Ila amin amin nakuambia, utakuja juta kwa karibu na bazazi Superman.
Kelele za mlango....Wewe ukisema wa nini wenzio wanasema tutampata lini.....u took me for granted na sasa unaleta maneno.. Superman naamini wewe ni mtu mwema
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha..sadaka zije kwako tena?basi mie ntakuwa mweka hazina wako..nina rekodi ya uaminifu..
cc Kaizer
 
Last edited by a moderator:
Kelele za mlango....Wewe ukisema wa nini wenzio wanasema tutampata lini.....u took me for granted na sasa unaleta maneno.. Superman naamini wewe ni mtu mwema


Hakika mimi ni mtu mwema kabisa, na dhamira yangu ni safi, nia yangu pia ni njema na hata jina langu linaashiria utakatifu. hata hivyo tukeshe tukiomba ili Mwanaizaya Asprin apate kuokolewa.
 
Last edited by a moderator:
Kelele za mlango....Wewe ukisema wa nini wenzio wanasema tutampata lini.....u took me for granted na sasa unaleta maneno.. Superman naamini wewe ni mtu mwema

"Waonaje wewe katika hao watatu, ni yupi alikuwa jirani yake yule aliyeangukia kati ya WANYANG'ANYI? Akasema, " Ni yule aliyemwonea huruma. Yesu akamwambia, Enenda zako nawe ukafanye vivyo hivyo" LK 10:36-37
 
Wakuu mimi sijui kunena kwa neno sasa Superman, Asprin ntakuwa sina mchango ila nitanukuu:Kweli siyo kila amwitae bwana.........!
 
Last edited by a moderator:
"Waonaje wewe katika hao watatu, ni yupi alikuwa jirani yake yule aliyeangukia kati ya WANYANG'ANYI? Akasema, " Ni yule aliyemwonea huruma. Yesu akamwambia, Enenda zako nawe ukafanye vivyo hivyo" LK 10:36-37
Mara pazia la hekalu likapasuka, ODM akasema Yametimia!
 
Bwana akasema watakuja wamejifunika uso wakida ndimi sisi wana wamfalume kume niwale waliovaa ngozi ya kondoo huku wakiwa ni mafisi!!

KakaKiiza hujambo lakini ,ndio najifunza kukusahau mwenzio vipi huko kuna mabashasha eeee kuliko mimi eeeee amu jilie tu mpenzi ila kumbukeni kufuatilia talaka yangu maana itageuka kuwa sabatical leave ya 1year.
Bebe usifanye hivyo ni wewe kwakukaa mbali na jimbo!ila mtima wange bado wakufiafia!

Superman my Doctor, KakaKiiza mbona nilimwambia!
Sema alibugia vitoti kadhaa vya Grant's,hvo akili ilimpaa.
Afu zile tips zote zimenitoka.
P'se jongea PM, unianziemo awali,nakumbuka moja tu.
CC: Mgoni Asprin asisome.
Mwone huna hata aibu??ulivyokuwa busy na Kaizer ulikumbuka kweli na ninawasiwasi ujui kama nilikuwepo au niweke ushahidi???????

Nilishajua tu. Huyu Bazazi akishaingia kwenye maisha yangu lazima unitose. Ila amin amin nakuambia, utakuja juta kwa karibu na bazazi Superman.
Nikama vampare??akinywa damu yako umekuwa yeye!!

Kweli na hakika kabisa, Mazalia ya Kibwetere bado yanatamalaki juu ya uso taradidi wa dunia. Tukeshe tukiomba.

CC: KakaKiiza
BCC: Kaizer
Sasa uliyemblind copy inabidi naye tumpeleke kwenye maombi au?

Mara pazia la hekalu likapasuka, ODM akasema Yametimia!
Ndipo mwana wamungu aka sema hakika.................
 
Last edited by a moderator:
Mara pazia la hekalu likapasuka, ODM akasema Yametimia!

Ilikuwa kati ya Saa 6 na Saa 9 jioni. Na makaburi yote ya Watakatifu waliokufa Zamani yakafunguka na wakaonekana mitaani. Ilisikitisha tu wakazi wengi maana @Asprin hakuwa miongini mwao.

Ole wao watendayo mambo maovu maana ni wao moto wa kiberiti umeandaliwa kwao . . .

Kesheni mkiomba maana hamjui yule mwovu Asprin atakuja wakati gani kama alivyomjia Kaunga
 
"Waonaje wewe katika hao watatu, ni yupi alikuwa jirani yake yule aliyeangukia kati ya WANYANG'ANYI? Akasema, " Ni yule aliyemwonea huruma. Yesu akamwambia, Enenda zako nawe ukafanye vivyo hivyo" LK 10:36-37
Nadhani ni wewe shemeji!!.Yani umeondoka bila kuniaga? vibaya hivo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…