Eid Mubarak to all Muslims
Tafrija leo ni kubwa na maandalizi ni mengi, moja kati ya maandalizi ni kwenda kuiswali swala ya Eid.

Unajianda kwenda kuiswali msikiti upi ambao unapendelea..? Mim nitaswali masjid firdaus inshaallah wa Nachingwea
 
Baada ya kuswal mkuu utanikutaa njee ya msikiti tukaufinyee huo ubwabwa Kwako.pleas usiniache
 
Baada ya kukamilisha swala ya Eid ndugu zangu wa jamii forum bila kuchagua rangi, kabila au dini nitawaomba niwakaribishe kwenye chai yangu hii.
...Chai ya maziwa, keki ya mayai, sambusa, kachori, na chapati.
 
kwa Neema na Baraka za Allah, sherehe hii muhimu sana ya
Eid ikawe ya furaha, upendo, Amani na Utulivu...

tuvae vizuri, tule vizuri na tunywe vizuri kama familia moja, ndungu, jamaa na marafiki. kepekee kila moja afurahike nayo..

Tuwakumbuke pia katika sala zetu wale wanaopitia katika changamoto ya mafuruko huko rufiji..
Inshallah, mwenyezi Mungu awafanyie wepesi...

Eid Mubarak 🐒
 
Eid Mubarak
 

Attachments

  • FB_IMG_1712728313457.jpg
    FB_IMG_1712728313457.jpg
    73.6 KB · Views: 1
EID MUBARAK

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa wanawake Tanzania (UWT) Ndg. Mary Chatanda (MCC) anawatakia Waumini wa Kiislamu na Watanzania wote Heri ya Sikukuu ya Eid El Fitri.
 

Attachments

  • FB_IMG_1712730370547.jpg
    FB_IMG_1712730370547.jpg
    80.8 KB · Views: 1
Haya salam zimefika

Sasa mchele/mpunga uko wapi

Wadau waje kubonyea

Ova
 
Back
Top Bottom