Eid Mubarak to all Muslims
Shabiki wa Mnyazimungu ila mimi kunakoelekea naacha kabisa kuamini mambo ya Mungu sababu unamwambia natamani nikuone haonekani
 
Kuna namna masheikh wangeekewa kigezo cha elimu dunia hata form four tu ingetosha kujiepusha na hizi aibu ndogo ndogo.

Maana kuna watu wengine koo zetu zina dini zote mbili, tuna marafiki waislamu na tunaalikana kwa kila sikukuu bila ubaguzi. Ila maneno ya kipuuzi kama haya yanapandikiza sumu taratibu na asieamini bhasi akafuatilie historia ya mauaji ya kimbari ya Rwanda
 
Shekhe mbona mchoyo sana? Au amekulia kwa watu wenye choyo?! Waislamu wa mtaani kwetu wamestaharabika sana.

Nafikiri malezi aliyokulia yamemuathiri sana.
Huyo sio mchoyo, hayupo socially aware na hii ni dalili ya kukosa exposure
 
Back
Top Bottom