Eid Mubarrak to all members of JamiiForums

Yule kanipigia simu kaniambia leo atakuwepo job full time..πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ati pilau halitapita kooni Mimi huyo..!! Ngoja nikatafute supu babe maana Jana mmhhh
Hizo job vepee jamani, soup asubuhi yote hii πŸ™Œ we babe wewe, drink responsibly

Hivi pilau inapitaje na yule hayupo? Haitokwama kwama πŸ˜‚
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my Infinix X650B using Tapatalk
 
Hizo job vepee jamani, soup asubuhi yote hii πŸ™Œ we babe wewe, drink responsibly

Hivi pilau inapitaje na yule hayupo? Haitokwama kwama πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Babe acha tu..Jana nilikuwa na usiku mzuri mno.
Itapita vizuri babe..na kawine pembeni itapita kwa utraam wote.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Babe acha tu..Jana nilikuwa na usiku mzuri mno.
Itapita vizuri babe..na kawine pembeni itapita kwa utraam wote.
Hongera kwa usiku mzuri, wenye utamu na raha za aina yake πŸ˜‚

Wine na mchele tena
 
Hongera kwa usiku mzuri, wenye utamu na raha za aina yake πŸ˜‚

Wine na mchele tena
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Eeh wine na mchele au ugali wa muhogo kabisa😎 ..Ukuje nikufundishe kula mchele na wine babe.
 
Juzi nilikomaa kuingia nikaambiwa tangu mwez wa kwanza haupo..na pia ulikuwa unasumbua sana

Sent using Jamii Forums mobile app

Wanazingua hawa NIDA. Bado hawajakaa sawa.

Ila ulikuwa poa sana maana ukipoteza kitambulisho, inachukua muda sana kukipata. Ile kopi ilikuwa inasaidia sana.

Nawaandikia barua warudishe ule utaratibu wa kopi online.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…