mbenda said
JF-Expert Member
- Apr 13, 2019
- 1,084
- 2,074
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂😂😀😀😀😀 acha fujo
Kabisa😂😂😂😂😂
Kidada Cha watu kipole Mimi...hizo fujo kwioooo
😀😀😀😀Kabisa
Unamfundisha utundu mdada wa watu 😀
Alinogewa na nini tena? Kama ilikuwa ni kuchukua hela tu na kurudiInanikumbusha movie moja inaitwa indecent Proposal...
Jamaa alimruhusu rafiki yake wa kike aendee kwa jamaa mwingine...
Ila achukue pesa na kurudi basi... ka mwanamke kakanogewa... kilichoendelea daah...
Cc: mahondaw
😀😀 ruksa ya kufanyaje? Me sijaona hata..
[emoji23][emoji23]Naomba kujuzwa kuna tatizo gani NMB na huduma yao ya salary advance? Maana tokea juzi inasumbua.
namaintain sosho distansi mkuu 😝😂😂😂😂