Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,394
- 59,069
Karibu imeanza na Basi !!..uchoyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu imeanza na Basi !!..uchoyo
Mchawi hali ya hewa, au town ni shangwe tu?Huna connection. Njoo maeneo.
Hiyo karibu haijamtoka moyoniKaribu imeanza na Basi !!..uchoyo
😂😂😂😂😂Sikuachi...
Kilichokushtua? We mbona uliamkia soup 😀
NakaziaHiyo karibu haijamtoka moyoni
Ya moyoni "karibu Eid rafiki"
Ulitukaribisha jana, me nilikuwa bado sijaona mwezi 😀
Ya moyoni "karibu Eid rafiki"
Ya kwako ilikuwa "basi karibu... Yan kaka vile umemsusia huo ukaribisho
Na nimeugomea huo ukaribisho..nasubiri wako Depal utakaokaribishwa na kina shabani eti!!Ya moyoni "karibu Eid rafiki"
Ya kwako ilikuwa "basi karibu... Yan kaka vile umemsusia huo ukaribisho
Haha tuendelee kusubiri maana Shabani mwenyewe sijui katorokea wapiNa nimeugomea huo ukaribisho..nasubiri wako Depal utakaokaribishwa na kina shabani eti!!
We shabani embu kuja hapa..utoe mualiko.Haha tuendelee kusubiri maana Shabani mwenyewe sijui katorokea wapi
😂😂😂😂
Eeh unanawa hujaona sahani ya pilau?We shabani embu kuja hapa..utoe mualiko.
Nimenawa kabisa Hadi mikono imeanza kauka😔
Huu ni wa kitofauti, I know you know 😂