Mkono wangu laini hata nikikupiga hutosikia kitu
Mi niko na amani ya kutosha mkuu, naona bibie ndiye kapata wasiwasi ndiyo sababu nimeona nimuondoe shaka mkuu
πMi niko na amani ya kutosha mkuu, naona bibie ndiye kapata wasiwasi ndiyo sababu nimeona nimuondoe shaka mkuu
We chukua hizo ela, mapochopocho nitakupa mimiπTukaribia hela? Hapana me nataka mapochopocho na mvinyo usikosekane
Muongezee na hizi tasavaliππππππ
AhsanteeeMuongezee na hizi tasavaliπππππ
Aku πWe chukua hizo ela, mapochopocho nitakupa mimiπ
πππ Ruhusa bado iko on ...
Hebu jaribu kunipiga nioneMkono wangu laini hata nikikupiga hutosikia kitu
PaaaHebu jaribu kunipiga nione
The only thing to fear is fear itself
Hahah, kweli nimeamini kofi la mwanamke haliumiPaaa
[emoji3][emoji3][emoji3] umekisikia?
Pika kelele kwa nanii akeeee...Ahsanteee
Ngoja niweke na hili kwa juu β€
ππππ acha fujoPika kelele kwa nanii akeeee...
Weuweeeeeeee