Eid Mubarrak to all members of JamiiForums

Mimi najitetea mapemaaaaa !nimemshauri Mjep ajikaze kiume na asilalamike lalamike hovyo kwani yeye ni mwanaume.
Nikasema sipendi kumwona anakosa furaha as mwanaume kukomlain mbele ya wanawake haipendezi

Ni hayo tu mfalme wangu!
[emoji16][emoji16][emoji848]

Depal ... mahondaw .... Mjep ... we neee to have a serious talk... kikap cha amani...

Judge yna2

Sent using Jamii Forums mobile app
 

🤣🤣🤣😁😷
Acha dhambi mahondaw Punguza ukorofi... nifanyiwe hayo yote kwani mimi mgonjwa... hahahaha.... kaone kwanza kalivyo katamu...
 
Ukijikwaa ukaumia mfalme wangu!
Anything for you You know! Napenda upate rrrraha uwe nafuraha always! [emoji12]
Nami Ngoja nimalizie kukorofisha jikoni hapa. .. See you soon!! [emoji113]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji40]
Acha dhambi mahondaw Punguza ukorofi... nifanyiwe hayo yote kwani mimi mgonjwa... hahahaha.... kaone kwanza kalivyo katamu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ruhusa naomba itendewe haki vilivyo Smart911

Atachuliwa kwa asali, halwa(halua) akitaka mpaka na juice ya Tende, ila chonde chonde kwa Nurse hakuna mapumziko. Ni matibabu kisha unasepa au sio 😛
 
Hapana. .huwezi mruhusu mgonjwa kama hajapata nafuu aseeee!
Yeah mtendee mazuri yote yote mfalme wangu . Pia umpe atachotaka bila kusahau nyama ya ulimi pullliiiiizzzzzzzz! . ... anything for him! Smart911
Hii ruhusa naomba itendewe haki vilivyo Smart911

Atachuliwa kwa asali, halwa(halua) akitaka mpaka na juice ya Tende, ila chonde chonde kwa Nurse hakuna mapumziko. Ni matibabu kisha unasepa au sio [emoji14]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…