Ejaculation Problems: Too Fast, Too Slow or Not at All? [Kuwahi au kuchelewa kumwaga]

Ejaculation Problems: Too Fast, Too Slow or Not at All? [Kuwahi au kuchelewa kumwaga]

dawa ni maandalizi na expectations, kwanza mjue si lazima kupiga mabao mawili moja linatosha kwa maana kuwa kuna wengine wanaenda kuanzia dk 45 mpaka masaa mawili akimaliza huyo si lazima aongeze la pili moja linakuwa limebeba yote. Maana unaweza ukapiga mabao saba kumbe ukawa unaboa. Dawa ni badili mtazamo na mawazo yako usijipe picha nyingi kichwani kabla ya tendo
 
umewahi kutumia dawa zozote zile siku za karibuni?umewahi kuugua siku za karibuni?umewahi kufanya mazoezi ya viungo na kuacha siku za karibuni?jibu hayo maswali nitakusaidia

mkuu ukiacha mazoezi unapata hayo matatizo ?
 
kuna njia moja ver natural unatakiwa utumie ...ukiwa na mwenzako wakati wa majambozi ukiona dalili unakaribia unatakiwa kuminya hizo pumbu hivyo vidude viwili kimoja unakibana unaanza upya jaribu then njoo utoe ushuhuda
 
hilo ni tatizo la kisaikolojia unakuwa unawaza sana kabla ya kufanya tendo hilo. Kuwa free na fanya mazoezi utakuwa imara tu.Hata hivyo hayo ni maoni yangu sina utaalamu katika hilo subiria mtaalamu wa mambo ya uzazi kwa msaada zaidi
 
Sijawahi kuugua wala kutumia dawa za aina yoyote ndugu Inspector!!
 
Je unatumia sana sigara(kuvuta)? Unakunywa sana pombe?kAma ndio,inabidi upunguze kabisa au uache ikiwezekana.Jitahidi pia uwe mtu unayefanya mazoezi ya mwili ili uwe fiti zaidi kiafya pia huchangia stamina kwenye kufanya tendo la ndoa,sio lazima ujazie,la hasha ninamanisha uwe na mazoezi yakawaida ya mwili.

Unapotaka kufanya tendo la ndoa inabidi kisaikolojia ujiweke fiti,usiwe na papara yakuanza kufanya tendo la ndoa mara tuu mamaa anapotua kitandani,inabidi ujifunze kufanya FORE PLAY,hii ni kujitahidi kuchukua hata mda wa dakika 20 kumchezea mpenzi wako sehemu mbali mbali za mwili kumuweka sawa na wewe kisaikologia unakua unavuta subira.Kama ukishamwingia mamaa ndaani ukaona unakaribia kutoa wazungu,kuna njia moja unaaweza kufanya kuhAkikisha hawatoki.Chini ya uume wako kuna mshipa flani,hivyo ubonyeze huo kwanguvu utaona hamu yakutoa wazungu wako haipo,itapotea.

Wengine wanapokua kwenye tendo lile wakati wana do,hutoa akili yao pale na kuipeleka kwingine kabisa ili asikojoe wazungu mapema.Lakini la muhimu zaidi ni kujiandaa kisaikolojia kabla ya tendo la ndoa usiwe na papara ya haaraka ya kutaka ku jig jig,ukiwa na haraka matokeo yake ndo hayo na hata ukishapiga cha kwanza,mpe fursa mpenzi wako akuguse huku na kule kuamsha ashiki ili uweze endelea
 
mkuu nafikiri hii shule inamtosha sana akifuata na imani tatizo lake litakwisha
 
Mi natamani mngekuwa mnafika ndani ya sekunde ili msituchoshe ati.
 
wengine hadi wakezetu wanatamani kusafiri angalau wapumzike,maana nikianza sitamani kuacha!!kweli we are deffer.
 
Jaribu kufanya mazoezi ya viungo mara kwa mara au kila siku, uchovu wa mwili unaweza kuchangia tatizo lako!
 
Mie nisaidieni,nachelewa sana kufika kileleni kiasi kwamba namuumiza mwenzangu na kutumia nguvu nyingi kuvuta hisia walau nimalize,nampa wakati mgumu mwenzangu kwani hakubali tena kurudia game,na anadai na kulama kwamba namkomoa,many times ananiacha njiani kabla sijamaliza!na huwa hataki kabisa tuendelee.msaada wenu bana madoctor.
 
mi la kwanza huwahi sana ila la pili huwa naweza kuachwa njia panda hapo vipi? Maana nnampango wakuoa. Ikiwa ni bila kondomu.
 
Labda mlima unaopanda njia yake iko straight na haina vikona kama tulivyozoea milima mingine
 
Back
Top Bottom