El nino ya 1999 dec,ndiyo iliyofikia level 4,sasa hii imejijenga mpaka level 5...

El nino ya 1999 dec,ndiyo iliyofikia level 4,sasa hii imejijenga mpaka level 5...

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
23,234
Reaction score
28,473
Hii built up ya level 5 inayotaka kielekea level 6 ,huenda ikaharibu viumbe bahari kwa 80% pamoja na kusababisha coral reef melt away katika bahari ya pacific,kumbuka visiwa vingi hapa duniani chini yake hushikiliwa na corol reefs!...
--------

El Niño can turn the tropical Pacific into a vast reservoir of heat, pushing already-warm oceans toward dangerous extremes.

During El Niño, unusually warm surface waters spread across the central and eastern equatorial Pacific, disrupting weather patterns around the world. When that natural cycle combines with elevated global ocean temperatures, marine heat stress can become severe.

For coral reefs, prolonged heat can trigger mass bleaching and mortality. NOAA’s Coral Reef Watch scale now reaches Bleaching Alert Level 5, indicating conditions where the risk of more than 80% coral mortality exists.
1000013961.jpg
 
Tuendelee kusubiri lakini sidhani kama ayo waloyasema watabiri yatajiri
Mambo ya mvua huwa wanayapatia sana kiutabiri,naomba hali hii isije kutokea katika bahari ya hindi,kwani visiwa vingi sana vitadhurika,katika eneo ambalo visiwa vingi vimewahi kuzama huko zamani ni katika bahari ya pacific...
 
Tuendelee kusubiri lakini sidhani kama ayo waloyasema watabiri yatajiri
Sema hawa jamaa sometimes waongo. Nakumbuka waliposema kuna jiwe kuubwa litaipiga dunia
.Kuhusu El nino na mvua kwa ujumla huwa wanapatia mno.
Hilo tukio la jiwe au kimondo (meteor) au upepo mkali kunaweza kutokea mabadiliko ya uelekeo au likaunjika vipande vidogo kabla halijafika.
 
Mambo ya mvua huwa wanayapatia sana kiutabiri,naomba hali hii isije kutokea katika bahari ya hindi,kwani visiwa vingi sana vitadhurika,katika eneo ambalo visiwa vingi vimewahi kuzama huko zamani ni katika bahari ya pacific...
Mkuu unaonaje hili litokee visiwa vya zenj vizame kabisa
 
Back
Top Bottom