El nino ya 1999 dec,ndiyo iliyofikia level 4,sasa hii imejijenga mpaka level 5...

Hahahah ila watu kwamba wacha Inyeshe tujue panapovuja
 
Sema hawa jamaa sometimes waongo. Nakumbuka waliposema kuna jiwe kuubwa litaipiga dunia
Hawakusema hivyo
Nakumbuka waliandikai BBC kwa staili ya kama uliza? na wakatumia kama njia za kuandika habari ki udaki flan hivi ndo wengi walidhani Hili jiwe litagonga Dunia

Ungeifungua hiyo mada uone walichoandika ndani ungegundua waliongelea kama Dhahania tuu, kwani walielezea kabisa umbali jiwe hililo litapita karibu( hiyo karibu wanayosema ni Kilomita zaidi ya laki moja kutoka duniani).
 
Mambo ya mvua huwa wanayapatia sana kiutabiri,naomba hali hii isije kutokea katika bahari ya hindi,kwani visiwa vingi sana vitadhurika,katika eneo ambalo visiwa vingi vimewahi kuzama huko zamani ni katika bahari ya pacific...
mawazo machafu toka kichwani mwangu, nimewaza visiwa vileeee vizame daah sijui kwa nini?
 
Hawakusema hivyo
Nakumbuka waliandikai BBC kwa staili ya kama uliza? na wakatumia kama njia za kuandika habari ki udaki flan hivi ndo wengi walidhani Hili jiwe litagonga Dunia

Ungeifungua hiyo mada uone walichoandika ndani ungegundua waliongelea kama Dhahania tuu, kwani walielezea kabisa umbali jiwe hililo litapita karibu( hiyo karibu wanayosema ni Kilomita zaidi ya laki moja kutoka duniani).
Asteroid Headed for Earth
 
Sema hawa jamaa sometimes waongo. Nakumbuka waliposema kuna jiwe kuubwa litaipiga dunia
Jiwe linakuja ni kweli lakini jiwe hilo ni Yesu. huo ni unabii wa siku za mwisho ambao umeandikwa kwenye biblia. soma Daniel na Ufunuo utaona habari ya jiwe.
 
Kanywe chai chief. Ukiipiga ya rangi na maharage na chapati inakuwa poa. Wahenga hoyee
 
Back
Top Bottom