Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
Hapa walitusokota hatari...🤣Sema hawa jamaa sometimes waongo. Nakumbuka waliposema kuna jiwe kuubwa litaipiga dunia
Mambo ya mvua huwa wanayapatia sana kiutabiri,naomba hali hii isije kutokea katika bahari ya hindi,kwani visiwa vingi sana vitadhurika,katika eneo ambalo visiwa vingi vimewahi kuzama huko zamani ni katika bahari ya pacific...Tuendelee kusubiri lakini sidhani kama ayo waloyasema watabiri yatajiri
Ohoooo lakini taarifa ilotoka Zanzibar hawakuitaja au ni mimi tu nimeona sivyo?Mambo ya mvua huwa wanayapatia sana kiutabiri,naomba hali hii isije kutokea katika bahari ya hindi,kwani visiwa vingi sana vitadhurika,katika eneo ambalo visiwa vingi vimewahi kuzama huko zamani ni katika bahari ya pacific...
Tuendelee kusubiri lakini sidhani kama ayo waloyasema watabiri yatajiri
.Kuhusu El nino na mvua kwa ujumla huwa wanapatia mno.Sema hawa jamaa sometimes waongo. Nakumbuka waliposema kuna jiwe kuubwa litaipiga dunia
Walivyo wadwanzi wakatutengenezea na 3D impression kabisa ili tuogope. Sishangai kwanini Trump huwa anasema global warming ni hoaxes za wapiga deal hakuna kitu kama hichoHapa walitusokota hatari...🤣
Mkuu unaonaje hili litokee visiwa vya zenj vizame kabisaMambo ya mvua huwa wanayapatia sana kiutabiri,naomba hali hii isije kutokea katika bahari ya hindi,kwani visiwa vingi sana vitadhurika,katika eneo ambalo visiwa vingi vimewahi kuzama huko zamani ni katika bahari ya pacific...
Yesu ametokea? Mnawaelewaje wahubiri?hivi isipotokea tutawaelewa kweli.
Mmhhh una roho dhaifu sana.Mkuu unaonaje hili litokee visiwa vya zenj vizame kabisa
Kwa kasi ya ajabu🤓Sema hawa jamaa sometimes waongo. Nakumbuka waliposema kuna jiwe kuubwa litaipiga dunia