El Salvador yakamata tani 6.6 za cocaine, meli iliyobeba unga ina bendera ya Tanzania!

Taarifa kubwa duniani kwa sasa ni kifo cha Nemesio Oseguera Cervantes(El Mencho) ambae alikuwa mlanguzi mkubwa wa madawa ya kulevya na kiongozi wa genge la Jalisco New Generation Cartel(CJNG) nchini Mexico ambae aliuawa na Jeshi la nchi hiyo. Leo Februari 24,2026 Waziri wa Ulinzi wa Mexico, Ricardo Trevilla Trejo amesema walipata kujua alipokuwa El Mencho kupitia mshirika wa karibu wa mwanamke wake ambae alikuwa amekutana nae Februari 20, 2026.

Akizungumza na vyombo vya habari leo Trevilla amesema “Tarehe 20 Februari, kupitia kazi ya ujasusi wa kijeshi, mshirika wa kuaminika wa mmoja wa wapenzi wa Mecho alitambuliwa. Mshirika huyo alimpeleka kwenye kituo kilichopo katika kijiji cha Talpa, Jalisco. Huko Mencho alikutana naye pamoja na huyo mwenzi wake.” Anaeleza Trevilla kuwa baada ya taarifa hizo kujulikana kikosi kilichojumuisha helikopta sita na askari wa vikosi maalum kiliwasili kimyakimya katika eneo la operesheni ili kudumisha usiri na watu kushtukia tukio.

Anaeleza zaidi kuwa El Mencho aliondoka eneo hilo na kuacha kundi lililokuwa na kiasi kikubwa cha silaha na shambulio lilikuwa la vurugu sana lililofanywa na watu wahalfu waliopangwa ambapo wanajeshi wa vikosi maalum walifanikiwa kuzuia mashambulizi hayo. Baada ya hali kudhibitiwa wahudumu wa afya wa kijeshi walielekea mahali alipokuwa El Mencho na walinzi wake ambapo walinzi wawili waliojeruhiwa. Kutokana na hali aliyokuwa nayo El Mencho waligundua kuwa ilikuwa lazima kuwahamisha kwa sababu walikuwa katika hali mbaya sana.

Msaada wa helikopta uliombwa ili kuwapeleka katika kituo cha matibabu huko Jalisco. Na baadae El Mencho, walinzi wake wawili na afisa aliyejeruhiwa walihamishwa. Kwa bahati mbaya, walifariki dunia wakiwa njiani. Funzo: Usimwamini mwanamke .
 
Hatari sana ,uroda umemcost maisha.
 
Nilishawahi kusema huyu elmencho siku zake zinahesabika
Alifika hatua ya mpk kuwapiga mkwala mkwala wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama na wengine kuwaua,kuwatesa
Maana aliona wanamzibia
Njia zake kubana biashara zake

Ova
 
Trump njoo uwapige wauza unga, wamejazana Tanzania wanakuletea huko kwako🔥🔥

Njoo ufanye kama Venezuela
 
Zanzibar kama semi autonomous ni moja ya nchi inayoongoza kutoa vibali vya ‘flag of convenience’ kwa miaka mingi. Ndio wanapopatia vibali vya kutumia hiyo bendera.

Haya mambo Magufuli aliyadhibiti, hizi zama zingine.
 
Dadeki

Kwa style hii sisi tuna tafuta Kwa njia za kawaida utajiri tutaupata kweli ??
 
Zanzibar kama semi autonomous ni moja ya nchi inayoongoza kutoa vibali vya ‘flag of convenience’ kwa miaka mingi. Ndio wanapopatia vibali vya kutumia hiyo bendera.

Haya mambo Magufuli aliyadhibiti, hizi zama zingine.

chanzo kikuu cha matatizo tanzagiza kwa >50% ni muslims, huko kwao zanzibar ( ambapo 98% muslim) wameshauza karibia kila kitu, fukwe zote wakati wananchi wamebakia kwenye umaskini wa kutupwa sasa hivi wanakimbilia huku kwetu pwani ...
 
Wahuni wamechomeshana wenyewe!

Naona idara ya kijasusi za america na co zimeanza KAZI ya kuidhalilisha Tz:-
Walianza na kampuni ya dP world has nyaraka za Epstein Sasa wamekuja na hili pia kuichafua nchi kimataifa plus image ili isiiaminike!!

KAZI na utu ,tunasonga mbele!
 
Wahuni walitaka kufanya uharamia na kuepuka upekuzi wa kina hutumia ngao ya nchi isiyo na shaka, nchi yenye amani kama Tanzania.
Bahati mbaya sana, maaskari wenyewe hao hawajui Tanzania.
Ni sawa na mtu anapowatumia watu wenye diplomatic permit kama mabalozi kupitisha dhahabu na cocaine airport.
Hongera Tanzania, maana mpaka wauza ngada wanakuheshimu kuwa uko peace
 
WAISLAMU ROSTAM AZIZI NA KIKWETE WAMECHUKIA SANA.
 
Rostam azizi na kijwete wamenuna sana kwa sababu ya hiyo meli kukamatwa
 
Umeongea kimantiki ila umechanganya na feelings za kusema sijui Tec ,mara chadema .. hapo unakoseq
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…