Vipi kuhusu hii gari ya serikali iliyobeba kilo 400? Kedi imefikia wapi?Wahuni wamechomeshana wenyewe!
Naona idara ya kijasusi za america na co zimeanza KAZI ya kuidhalilisha Tz:-
Walianza na kampuni ya dP world has nyaraka za Epstein Sasa wamekuja na hili pia kuichafua nchi kimataifa plus image ili isiiaminike!!
KAZI na utu ,tunasonga mbele!
Hii gari yenu iliyobeba kilo 400 mbona hatukuona kesi mahakamani?Wahuni walitaka kufanya uharamia na kuepuka upekuzi wa kina hutumia ngao ya nchi isiyo na shaka, nchi yenye amani kama Tanzania.
Bahati mbaya sana, maaskari wenyewe hao hawajui Tanzania.
Ni sawa na mtu anapowatumia watu wenye diplomatic permit kama mabalozi kupitisha dhahabu na cocaine airport.
Hongera Tanzania, maana mpaka wauza ngada wanakuheshimu kuwa uko peace
Hapa naona kwann ni platinum member. ...Ni kawaida Drug Curtail kuzubaisha Kwa Kuweka hiyo Bendera maana yake hiyo Meli ina Originate Tanzania
Sasa wewe mwana CHADEMA na TEC tujiulize Tanzania inatengeneza Meli? Jibu hapana. meli iwapo baharini huwa inapeperusha bendera ya country of origin ikikaribia kufika nchi husika yaani mfano Tanzania Territorials ndo inapandisha bendera ya Tanzania.
Hao walikua wanaweka bendera ya Tanzania kukwepa Doria ya Atlantic na Pacific ambayo inafanywa na Marekani hata kwenye Ndege ukiwa umetoka Colombia, Brazil, Mexico unakua classified as a red flag kwa hiyo luggage zake zitakaguliwa kwa umakini kwa sababu ndo channel ya Cocaine iliko.
Inauzwa mkuu alafu pesa inabaki kwa serikali husikaHvi ile.mizigo inakamatwa inaendaga wapi after ..na kama inachomwa wapi inachomewa
Ulizotu
AI ipo kazini.Wakuu,
Bendera ya Tanzania kuwa kwenye meli hii inamaanisha nini na ina athari gani kidiplomasia? Na hiyo mizigo hapo chini imefungwa kwa bendera yetu pia?🤔
====
View attachment 3548239
Mnamo Februari 19, 2026, katika eneo la La Unión, El Salvador, Jeshi la Majini la nchi hiyo lilitangaza kufanya ukamataji mkubwa zaidi wa dawa za kulevya katika historia yake. Operesheni hiyo ilifanikiwa baada ya kukamatwa kwa tani 6.6 za cocaine zilizokuwa zikisafirishwa baharini.
Pia soma
- Iran yakamata Meli 2 zenye bendera ya Tanzania zikidaiwa kusafirisha mafuta ya magendo
- Meli inayopeperusha bendera ya Tanzania na Panama yakamatwa Irani kwa magendo ya mafuta
- Meli yenye bendera ya Tanzania yakamatwa ikiwa na Dawa za Kulevya tani 1.6
- Nani awajibike: Flagging foreign vessels with Tanzania flag
Meli hiyo yenye urefu wa futi 180 ilinaswa umbali wa takriban maili 380 kusini-magharibi mwa pwani ya Pasifiki ya nchi hiyo. Katika upekuzi wa kina, wapiga mbizi wa Jeshi la Majini walifanikiwa kupata vifurushi 330 vya cocaine ambavyo vilikuwa vimefichwa ndani ya matenki ya uzito (ballast tanks) ya meli hiyo.
Kufuatia operesheni hiyo, jumla ya wanaume kumi walitiwa mbaroni. Watuhumiwa hao wanatoka katika nchi za Colombia, Nicaragua, Panama, na Ecuador, wakiashiria mtandao mpana wa kimataifa uliohusika katika usafirishaji wa shehena hiyo.
View attachment 3548261
View attachment 3548262
================================On Sunday, El Salvador's navy announced the largest drug seizure in the country's history of 6.6 tons of cocaine. The navy had intercepted a 180-foot boat registered to Tanzania, 380 miles southwest of the coast. Navy divers found 330 packages of cocaine hidden in the boat's ballast tanks. Ten men were arrested from Colombia, Nicaragua, Panama and Ecuador.
On Thursday, Salvadoran authorities gave access to the seized ship FMS Eagle, which had just arrived in the port of La Union. Images released by the navy showed more than 200 wrapped bundles lined up on the deck.
The Trump administration has pressured Mexico to make more drug seizures over the past year. The trafficking of drugs like fentanyl was the president's justification for tariffs on Mexican imports.
Mexican President Claudia Sheinbaum has responded with a more aggressive stance toward drug cartels than her predecessor, that has included sending dozens of drug trafficking prisoners to the United States for prosecution, including 37 individuals last month.
Sheinbaum has also expressed her disagreement with strikes by the U.S. military in the Caribbean Sea and Pacific Ocean against boats suspected of carrying drugs.
At least 145 people have been killed in those strikes since the U.S. government began targeting those it calls "narcoterrorists" last September.
The U.S. strikes this week included two vessels carrying four people each in the eastern Pacific Ocean and another boat in the Caribbean carrying three people. The administration provided images of the boats being destroyed, but not evidence they were carrying drugs.
Earlier this week, the U.S. Coast Guard seized over 2,000 pounds of cocaine while attempting to intercept a boat that was trafficking drugs off Puerto Rico. The crew of the alleged drug-ferrying boat "began evasive maneuvers" before throwing their cargo overboard and fleeing, the Coast Guard said.
Source: NTD News
ni jambo la kawaida sana na lisilo na athari yoyote kitaifa wala kimataifa,Wakuu,

makampuni ya tafiti za madawa, viwanda mbalimbali vya kutengeneza kemikali mbalimbali na sumu, madawa ya binadamu, wanyama au wadudu huuziwaHvi ile.mizigo inakamatwa inaendaga wapi after ..na kama inachomwa wapi inachomewa
Ulizotu

DP World.Wakuu,

Mkuu Troll JF ukisema “hakuna mtanzania aliyehusishwa” si kweli maana hizi biashara chain is very long.We ndo Mpumbavu hakuna hata mtanzania mmoja aliyekamatwa in connection na dawa hizo bendera ni Geresha tuu mbona rahisi sana kuelewa? Na hakuna mtanzania aliyehusishwa
I writing in relation to seized consignment mpaka jioni hii hakuna mtanzania aliyekamatwa wala kuhusishwa nasoma ripoti mbalimbali za kimataifa pia.Mkuu Troll JF ukisema “hakuna mtanzania aliyehusishwa” si kweli maana hizi biashara chain is very long.
kuna Mtanzania Subiro alidakwa kwasababu ya madili ya silaha na US walisema dili lake linahusiana na kundi la El Mencho. So kuna Watanzania wanakaa meza moja adi na mexican cartels kufanya deal.
Huwezi acha kuitaja motherland au mtu yoyote kutoka kwetu maana bendera imeonekana . Unless upelelezi ukamilike.
Hao "curtail"? wanazubaisha wapumbavu kama akina Samia Suluhu Hassan, ndiyo maana wakachagua bendera ya nchi wanayotawala; badala ya kuzubaisha nchi nyingine yoyote nyingineNi kawaida Drug Curtail kuzubaisha Kwa Kuweka hiyo Bendera maana yake hiyo Meli ina Originate Tanzania
Kwa haya uliyoandika hapa ni wazi kabisa kuwa kumbe hata shule hukusoma chochote cha maana, kama kweli unacho kisomo cha aina yoyote ileSasa wewe mwana CHADEMA na TEC tujiulize Tanzania inatengeneza Meli? Jibu hapana. meli iwapo baharini huwa inapeperusha bendera ya country of origin ikikaribia kufika nchi husika yaani mfano Tanzania Territorials ndo inapandisha bendera ya Tanzania.
Kama alivyo Samia, nyinyi watu hamuoni hata aibu kuzungumzia mambo ambayo mnajuwa hamuyajui, au mnasema uongo moja kwa moja!Hao walikua wanaweka bendera ya Tanzania kukwepa Doria ya Atlantic na Pacific ambayo inafanywa na Marekani hata kwenye Ndege ukiwa umetoka Colombia, Brazil, Mexico unakua classified as a red flag kwa hiyo luggage zake zitakaguliwa kwa umakini kwa sababu ndo channel ya Cocaine iliko.Kumbe huna upeo wa aina yoyote ile. Upo tu unajiropokea kila kinachoingia akilini mwako.