El Salvador yakamata tani 6.6 za cocaine, meli iliyobeba unga ina bendera ya Tanzania!

Vipi kuhusu hii gari ya serikali iliyobeba kilo 400? Kedi imefikia wapi?
 
Hii gari yenu iliyobeba kilo 400 mbona hatukuona kesi mahakamani?
 
Hapa naona kwann ni platinum member. ...
Majibu kama haya huwa na injoy sana
 
AI ipo kazini.
 
ni jambo la kawaida sana na lisilo na athari yoyote kitaifa wala kimataifa,
Tanzania haina historia za hizo mambo.

kilichotokea ni sawa na mwanachadema kuvaa boska ya ccm au kupanda pikipiki za CCM za mama samia
 
DP World.
 
We ndo Mpumbavu hakuna hata mtanzania mmoja aliyekamatwa in connection na dawa hizo bendera ni Geresha tuu mbona rahisi sana kuelewa? Na hakuna mtanzania aliyehusishwa
Mkuu Troll JF ukisema “hakuna mtanzania aliyehusishwa” si kweli maana hizi biashara chain is very long.

kuna Mtanzania Subiro alidakwa kwasababu ya madili ya silaha na US walisema dili lake linahusiana na kundi la El Mencho. So kuna Watanzania wanakaa meza moja adi na mexican cartels kufanya deal.

Huwezi acha kuitaja motherland au mtu yoyote kutoka kwetu maana bendera imeonekana . Unless upelelezi ukamilike.
 
Hizi chain mbaya sana wala si shirikishi ukiwa airport mambo yanayoendelea unaw r za hisi movie balaa
Ufupi untouchable na kama umeandika urithi endelea nazo uone
 
I writing in relation to seized consignment mpaka jioni hii hakuna mtanzania aliyekamatwa wala kuhusishwa nasoma ripoti mbalimbali za kimataifa pia.
 
Ni kawaida Drug Curtail kuzubaisha Kwa Kuweka hiyo Bendera maana yake hiyo Meli ina Originate Tanzania
Hao "curtail"? wanazubaisha wapumbavu kama akina Samia Suluhu Hassan, ndiyo maana wakachagua bendera ya nchi wanayotawala; badala ya kuzubaisha nchi nyingine yoyote nyingine
Sasa wewe mwana CHADEMA na TEC tujiulize Tanzania inatengeneza Meli? Jibu hapana. meli iwapo baharini huwa inapeperusha bendera ya country of origin ikikaribia kufika nchi husika yaani mfano Tanzania Territorials ndo inapandisha bendera ya Tanzania.
Kwa haya uliyoandika hapa ni wazi kabisa kuwa kumbe hata shule hukusoma chochote cha maana, kama kweli unacho kisomo cha aina yoyote ile
Kama alivyo Samia, nyinyi watu hamuoni hata aibu kuzungumzia mambo ambayo mnajuwa hamuyajui, au mnasema uongo moja kwa moja!

Najuwa sasa wewe ni Mzanzibari; kwa sababu baadhi ya watu wa huko hii ni tamaduni yenu; pengine kutokana na kuchanganya damu za watu wa nje.
 
hizo ni cacain za mtanzani 100% sasa hivi nchi hii unga unaingia sana kuliko awamu zote na kamati ya madawa ya kulevya inakamata bangi na mirungi kesi ngapi za madawa ya kulevya hazijulikani hatima yake, kamati ya madawa ya kulevya ivunjwe watu washughulikiwe viongozi wengi wamo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…