El Salvador yakamata tani 6.6 za cocaine, meli iliyobeba unga ina bendera ya Tanzania!

Sasa nadhani mmelewa kwanini wasanii wetu wana hela za kununulia G-wagons
 
Mbona unalazimisha vitu amabavyo havipo hakuna Tanzania National yoyote aliyekamatwa au kuhusishwa.
 
Mbona unalazimisha vitu amabavyo havipo hakuna Tanzania National yoyote aliyekamatwa au kuhusishwa.
Hujawahi kusikia meli zinazotumia bendera ya mataifa mengine bila ya meli kuwa mali ya mataifa hayo; hata hili jambo la kawaida nalo bado hulijui, wewe unaishi dunia gani?

Hata hujui kuwa Zanzibar ndio huwa wanauza bendera ya Tanzania zitumiwe na meli hizo, hili nalo kweli hulijui?

Liberia hujawahi kusikia meli zikitumia bendera ya nchi hiyo. Sasa wewe unadhani wao wanazo meli chunguu nzima?

Siyo takwa la meli kuwa na raia wa nchi husika kupeperusha bendera ya nchi hiyo.

Inaonyesha wazi kuwa wewe ni mtu asiyejuwa mambo mengi, umo humu JF kubwatuka tu kama chizi.
 
Tanzania matopeni again

Nchi ikishakuwa na vikundi vya kisiasa vya kuteka na kuua wakosoaji wa kisiasa lazima itaotesha magenge ya madawa ya kulevya na uhalifu mwingine

Tukiwaambia Tanzania inaenda kuwa "pariah state" muwe mnatuelewa.
Kwasasa Tanzania ni rahisi kuwa na magenge hayo kwa sababu tayari kuna vikundi vya kuteka na kuua watu wanaokosoa serikali. Makundi hayo yanayolindwa na kupata support ya serikali haya wezi kuishia kuwa vikundi vya kisiasa tu lazima yageuke kuwa magenge ya uhalifu wa kupata fedha kwa kuwa wanajiamini kutokana na kulindwa na serikali na siku zote hawawezi kutegemea hela toka hazina tu kufanya mishe zao na kutanua mitaani.
 
Liko wazi hili
 
tushaambiwa imesàjiliwa znz

bendera mliyoona nahisi n ya znz pia

kwenye mzigoo sijajua umesajilowa wapi ngoja pachangamke kwanzaa

dah aisee Mungu fundii bana ule mxigoo ungeingiaa aisee kha



Tumeambiwa imesajiliwa znz hakuna mzubaisho hapo sheehee
 
Duuh kumbe kweli?
 
Achaga ubishi😀😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…