Ziwa Tanganyika wapo samaki wa aina hiyo
Sasa ni Watanzania wachache sana wanajua kama hawa Samaki huku anapatikana
- Nakumbuka tukiwa Jkt Bulombola nilikuwa na zamu ya uvuvi, alivuliwa samaki umeme akaunguza samaki wote kwenye nyavu nasisi tuliponea sababu tulikuwa na afande mzoefu.
Umeme anaouzalisha unaweza kumuua mamba mkubwa achilia mbali bin adam.
Ukweli, ni kuwa vitu vingi sana wanavyogundua wazungu tunavyo kila siku sema tu sisi huku tukiona tunachukulia tu poa.
Ila, wao wakiona tu kitu ( features ) tofauti hata kwa vitu walivyovizoea wanatangaza faster kuwa wamegundua.
Sasa kwetu Sisi tunaona ila inaishia hapo.
Kazi bado tunayo.
Pia ukanda wa misitu ya amazon ndio unaongoza kwa upatikanaji wa majoka makubwa duniani kama yale ma-anaconda.amazon ni noma sana.Hii amazon hii, mbona imepwndelewa wanyama wa ajabu ajabu???
Kweli kama Kamongo,ila sasa Kamongo anafika mita 2?.Wanaweza kuwa wanafanana aisee.Mh! Picha yake huyu namuona kama ni kamongo huyu.tunaye huku Mwanza ziwa victoria,nijuacho hua ana meno makali ukiweka kidole lazima akikate na meno yake.labda kama wanafanana tu
Yea kweli mkuuHuyu samaki kuna muvi moja amecheza rock alioneshwa wakamtumia kuwashia ndege nkajua ni uigizaji tu kumbe wapo hao samaki duu