Electrical eel samaki anayetoa umeme

Electrical eel samaki anayetoa umeme

Ukweli, ni kuwa vitu vingi sana wanavyogundua wazungu tunavyo kila siku sema tu sisi huku tukiona tunachukulia tu poa.

Ila, wao wakiona tu kitu ( features ) tofauti hata kwa vitu walivyovizoea wanatangaza faster kuwa wamegundua.

Sasa kwetu Sisi tunaona ila inaishia hapo.

Kazi bado tunayo.
 
  1. Nakumbuka tukiwa Jkt Bulombola nilikuwa na zamu ya uvuvi, alivuliwa samaki umeme akaunguza samaki wote kwenye nyavu nasisi tuliponea sababu tulikuwa na afande mzoefu.
Sasa ni Watanzania wachache sana wanajua kama hawa Samaki huku anapatikana
 
Hawa samak kama kuna uwezekano. Wakusanywe samaki hawa wakae sehem moja. Kama bwawa maalumu alafu waka tap... umeme.. kutoka kwenye bwawa hilo.
 
Umeme anaouzalisha unaweza kumuua mamba mkubwa achilia mbali bin adam.

Nimemuangali youtube yah anaweza kumuua mamba kwa umeme wake ule.

Ukweli, ni kuwa vitu vingi sana wanavyogundua wazungu tunavyo kila siku sema tu sisi huku tukiona tunachukulia tu poa.

Ila, wao wakiona tu kitu ( features ) tofauti hata kwa vitu walivyovizoea wanatangaza faster kuwa wamegundua.

Sasa kwetu Sisi tunaona ila inaishia hapo.

Kazi bado tunayo.

Wasomi wa Tanzani hatukuwekeza katika uvumbuzi bali pesa.

Kila anayesoma anawaza aajiriwe sehemu nzuri apige hela.

Ukifuatilia vizuri hata hao maprofesa there nothing katika jamii zetu.

Na hii inatengenezwa toka chini kabisa tunasoma ili tufaulu mitihani.

Secondary wanafunz wa sayansi wanafundishwa practical zinazotoka tu n nothing else.
 
Huyu ni mmoja ya samaki ambaye jina lake lilizaa Tanga-nyika.., sina hakika ni tanga au nyika.
Ila ziwa Tanganyika wapo wengi sana hawa, ingawa hawavuliwi kwa wingi. Nyama yake ina mafuta ya kutosha bombadia kupiga root ya Dar Kigoma and return.
 
Mh! Picha yake huyu namuona kama ni kamongo huyu.tunaye huku Mwanza ziwa victoria,nijuacho hua ana meno makali ukiweka kidole lazima akikate na meno yake.labda kama wanafanana tu
Kweli kama Kamongo,ila sasa Kamongo anafika mita 2?.Wanaweza kuwa wanafanana aisee.
 
Wanachonimaliza hwa wazungu ni jinsi wanavorekodi hizi issue....yaan huwa nashangaa kuliko wanachokirekodi.
 
Huyu samaki kuna muvi moja amecheza rock alioneshwa wakamtumia kuwashia ndege nkajua ni uigizaji tu kumbe wapo hao samaki duu
 
Jamaa amefanya explanation gud sana kuhusu eel Pia cha kuongeza hapo eel ana receptors nyingi za acetylcholine zinazofanya azalishe umeme mwingi ambao unakuwa na mfumo wa direct current (DC)
 
Back
Top Bottom