Electrical eel samaki anayetoa umeme

Vipi mkubwa akigusana na mwenzake si ni shoti au
 
Mbona kama kamongo mkuu ?!.
 
Pia kuna samaki wa aina hiyo anapatikana ndani ya ziwa Tanganyika anaitwa Nyika huwa ni hatari,ukimvua inabidi umuue kwanza ndo umuweke kwenye mtumbwi,bila hivyo kila anapojitikisa anatoa current ambazo zitasababisha wote kutetemeshwa na unaweza ukakosa na samaki wengine ulioisha wavua kwani watarushwa kurudi majini
 
Ha ha nashukurh kwa exprience ni kweli anatoa volt 12 ni hatari sana wanawaita mkunga nafikri
 
Alafu mbona ana nyusi machoni kama binadamu au wamewatengeneza wenyewe maana hao watu weupe wanaangaikaga kutengeneza ma vitu alafu yanaleta mabalaa siku wakiwaleta wakawatupa coco beach pale tutakufa kama kuku ili waje waanzishe taasisi za kuokoa watu wapige ela shenzi sana hawa watu weupe yaani awaliziki na ukimwi
 
Ha ha ha kaka usiwalaumubkabisa watu weupe hii ni nature mkuu hata tanganyika wapo kuna vitu vingi sana kwenye nature kaa nasi tutakujuza mengi sana... nature inashangaza sanaa
 
Ha ha ha kaka usiwalaumubkabisa watu weupe hii ni nature mkuu hata tanganyika wapo kuna vitu vingi sana kwenye nature kaa nasi tutakujuza mengi sana... nature inashangaza sanaa
Sasa wanachokifanya wao si wanaangalia hiyo nature na kuifanya iwe na madhara kama Tanganyika wapo lakini wanatetemesha tuu iweje hao wa kwao wawe wanauwa kwa muda mchache ndo ujue wanachofanya hao ni kuangalia iyo nature nakuitengenezea madhara ili watu waamin ni nature tuu kumbe wameshafanya yao
 
Yaani haiwezekani kabisaa kumtengeneza maana kinachomsaidi ni cells zake za mwili... na ni old world yaan wako tangu zamani sanaa??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…