Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ELECTRIC EEL
Huyu ni samaki mwenye umeme yani mwili wake unatengeneza umeme wenye nguvu ya volt 600.
Wanapatikana bara la Amerca kusini
Kisayansi wanaitwa "Electrophorus electricus" hawa samaki wala nyama yaani carnivores wanaurefu wa futi 5-8
Miili yao imeundwa na organs zipatazo 6000 ambazo ndani yake zina cell ziitwazo "electrocytes" special kwa ajili ya kugenerate umeme ambao hutumika kukamatia prey na kujikinga na predators
Wanaishi kwenye mabwawa na maji katika mito ya amerca kusini chakula chao kikuu ni samaki na ndege
hawaoni vizuri hvyo muda wa chakula hutoa kama volt kumi kuijua direction ya prey pale atakapopigwa shoti
Wanaua sana mamba na samaki wengine kwasababu mamba anapokamata hupigwa shoti mfululizo ambapo husababisha kifo hata binadamu pia walishauliwa na hawa samaki kwa kuendelea kumshika wakati wa shoti ambapo hupoozesha mapigo ya moyo
Uzao wao ni wa tofauti sana na samaki wengine wakati wa kutaga mayai jike hutaga kufikia mayai 17,000 na hutotoa watoto wapatao 1200 na muda wote kiota kinakua kimezungukwa na ulinzi ambao ni mate ya dume
Wanaishi miaka 10-15
VIDEO (download kwa chini ya maelezo)
Huyo ndo electrical eel ni samaki ambae hana noma usimpomgusa, sasa mamba hasa hawa alligator hawajui kwamba huyu ni umeme unaotembea mamba akajua msosi umejileta
umeona kilichompata? (Download video)
amekula shoti za kutosha mpka kafa hapo hapo ndani ya sekunde 30 hapo ndio eel katoa volt 600
Umeme tu wakaida wa volt 220 wa (tanesco) unaua sasa jiulize huu wa samaki ambao ni 600-650 volt inakuaje??
.
Lakini sehemu za brazili wanamla ila wanamuua na kumuacha baada ya masaa nane..
Follw us on instagram @thewildlife_tzView attachment 1081515View attachment 1081516
Mbona kama kamongo mkuu ?!.ELECTRIC EEL

Pia kuna samaki wa aina hiyo anapatikana ndani ya ziwa Tanganyika anaitwa Nyika huwa ni hatari,ukimvua inabidi umuue kwanza ndo umuweke kwenye mtumbwi,bila hivyo kila anapojitikisa anatoa current ambazo zitasababisha wote kutetemeshwa na unaweza ukakosa na samaki wengine ulioisha wavua kwani watarushwa kurudi majiniELECTRIC EEL
Huyu ni samaki mwenye umeme yani mwili wake unatengeneza umeme wenye nguvu ya volt 600.
Wanapatikana bara la Amerca kusini
Kisayansi wanaitwa "Electrophorus electricus" hawa samaki wala nyama yaani carnivores wanaurefu wa futi 5-8
Miili yao imeundwa na organs zipatazo 6000 ambazo ndani yake zina cell ziitwazo "electrocytes" special kwa ajili ya kugenerate umeme ambao hutumika kukamatia prey na kujikinga na predators
Wanaishi kwenye mabwawa na maji katika mito ya amerca kusini chakula chao kikuu ni samaki na ndege
hawaoni vizuri hvyo muda wa chakula hutoa kama volt kumi kuijua direction ya prey pale atakapopigwa shoti
Wanaua sana mamba na samaki wengine kwasababu mamba anapokamata hupigwa shoti mfululizo ambapo husababisha kifo hata binadamu pia walishauliwa na hawa samaki kwa kuendelea kumshika wakati wa shoti ambapo hupoozesha mapigo ya moyo
Uzao wao ni wa tofauti sana na samaki wengine wakati wa kutaga mayai jike hutaga kufikia mayai 17,000 na hutotoa watoto wapatao 1200 na muda wote kiota kinakua kimezungukwa na ulinzi ambao ni mate ya dume
Wanaishi miaka 10-15
VIDEO (download kwa chini ya maelezo)
Huyo ndo electrical eel ni samaki ambae hana noma usimpomgusa, sasa mamba hasa hawa alligator hawajui kwamba huyu ni umeme unaotembea mamba akajua msosi umejileta
umeona kilichompata? (Download video)
amekula shoti za kutosha mpka kafa hapo hapo ndani ya sekunde 30 hapo ndio eel katoa volt 600
Umeme tu wakaida wa volt 220 wa (tanesco) unaua sasa jiulize huu wa samaki ambao ni 600-650 volt inakuaje??
.
Lakini sehemu za brazili wanamla ila wanamuua na kumuacha baada ya masaa nane..
Follw us on instagram @thewildlife_tzView attachment 1081515View attachment 1081516
Ha ha nashukurh kwa exprience ni kweli anatoa volt 12 ni hatari sana wanawaita mkunga nafikriPia kuna samaki wa aina hiyo anapatikana ndani ya ziwa Tanganyika anaitwa Nyika huwa ni hatari,ukimvua inabidi umuue kwanza ndo umuweke kwenye mtumbwi,bila hivyo kila anapojitikisa anatoa current ambazo zitasababisha wote kutetemeshwa na unaweza ukakosa na samaki wengine ulioisha wavua kwani watarushwa kurudi majini
Mi sina ufaham kuhusu uyo samaki
NitashukuruAhaa ndio hyoo ngoja niupload video.. ni blaa sana anauwa sana mamba
Mbona kama kamongo mkuu ?!.
video sijaiona
Vipi mkubwa akigusana na mwenzake si ni shoti au
Naupload mkuuVideo ziko wapi asa
Mmm kwa mfano wao kwa wao wanapigana maana hakuna kiumbe kisichokuwa kibabe kwa mwenzake inakuwajeAhaa sasa wakigusana wao kwasababu sio maadui hamna tatizo ila akihisii tu adui haraka sana anacharge..
Alafu mbona ana nyusi machoni kama binadamu au wamewatengeneza wenyewe maana hao watu weupe wanaangaikaga kutengeneza ma vitu alafu yanaleta mabalaa siku wakiwaleta wakawatupa coco beach pale tutakufa kama kuku ili waje waanzishe taasisi za kuokoa watu wapige ela shenzi sana hawa watu weupe yaani awaliziki na ukimwi
Nilishasimuliwa hii na mtu WA kigoma
Mmm kwa mfano wao kwa wao wanapigana maana hakuna kiumbe kisichokuwa kibabe kwa mwenzake inakuwaje
Sasa wanachokifanya wao si wanaangalia hiyo nature na kuifanya iwe na madhara kama Tanganyika wapo lakini wanatetemesha tuu iweje hao wa kwao wawe wanauwa kwa muda mchache ndo ujue wanachofanya hao ni kuangalia iyo nature nakuitengenezea madhara ili watu waamin ni nature tuu kumbe wameshafanya yaoHa ha ha kaka usiwalaumubkabisa watu weupe hii ni nature mkuu hata tanganyika wapo kuna vitu vingi sana kwenye nature kaa nasi tutakujuza mengi sana... nature inashangaza sanaa
Yaani haiwezekani kabisaa kumtengeneza maana kinachomsaidi ni cells zake za mwili... na ni old world yaan wako tangu zamani sanaa??Sasa wanachokifanya wao si wanaangalia hiyo nature na kuifanya iwe na madhara kama Tanganyika wapo lakini wanatetemesha tuu iweje hao wa kwao wawe wanauwa kwa muda mchache ndo ujue wanachofanya hao ni kuangalia iyo nature nakuitengenezea madhara ili watu waamin ni nature tuu kumbe wameshafanya yao
Kwaiyo na hao wa tanganyika wapo ivo ivo kama hao wa njeYaani haiwezekani kabisaa kumtengeneza maana kinachomsaidi ni cells zake za mwili... na ni old world yaan wako tangu zamani sanaa??