nimewah kula mkunga wale wapokama chatu namanisha ngozi yao huyu sjawah kumla vipi analiwa my son?? ubarikiwe mwanangu wa kiume wa pekeeMama tena! Lazima apate picha za kutosha![emoji847][emoji847][emoji847] View attachment 1361653View attachment 1361654View attachment 1361655View attachment 1361656View attachment 1361658
barikiwa jamani 🤲Wacha nikuwekee picha Madame!!
View attachment 1361659
si ndio hapoYaani anaanza halafu anataka wenzake ndio wamalizie!
Mama tena! Lazima apate picha za kutosha![emoji847][emoji847][emoji847] View attachment 1361653View attachment 1361654View attachment 1361655View attachment 1361656View attachment 1361658
Ndiyo Mama, analiwa ila kumvua ni mbinde haswa! ikitokea wavuvi wamemnasa kwa bahati mbaya huwa wanamkimbia!nimewah kula mkunga wale wapokama chatu namanisha ngozi yao huyu sjawah kumla vipi analiwa my son?? ubarikiwe mwanangu wa kiume wa pekee
Rafiki hivi tope linaitwaje kwa kiinglish ili nisearch akiwa kwenye tope google?
anakuzaba shoti ya maana alafu unaishia kutuletea kesi tuliokuja kuogolea na wewe hapo kwenye dindi.
Kwa muonekano wake hakosi umeme huyo samaki.Mama tena! Lazima apate picha za kutosha![emoji847][emoji847][emoji847] View attachment 1361653View attachment 1361654View attachment 1361655View attachment 1361656View attachment 1361658
Analika.Ni mtamu.Ila lazima achunwe ngozi na kukatwa kichwa..Anafaa kwa kuchomwa au kuokwa si kwa kumpika..Huyo samaki je analika ama
duh hivo viumbe vya baharini s mchezoNdiyo Mama, analiwa ila kumvua ni mbinde haswa! ikitokea wavuvi wamemnasa kwa bahati mbaya huwa wanamkimbia!
Silt au pasteRafiki hivi tope linaitwaje kwa kiinglish ili nisearch akiwa kwenye tope google?
Anafanana na kambarage,lakini hana mikono.....wala miguu ni mlemavu sjui kiki ya shoti anaipigaje?Mama tena! Lazima apate picha za kutosha![emoji847][emoji847][emoji847] View attachment 1361653View attachment 1361654View attachment 1361655View attachment 1361656View attachment 1361658