Electrical eel samaki anayetoa umeme

Electrical eel samaki anayetoa umeme

Kama nakumbuka nilimuona kwenye movie ya The Rock, The Journey to mysterious Island alitumika kuchaji ile sijui ni meli au nini ...nikajua ni uongo wa movies na sikujipa muda wa kufuatilia kama ni kweli
 
Hawa electricious eel wapo hata kwenye mabwawa mengi tu Dar mfano pale mkwajuni kwa chini mpaka kule jangwani wanapatikana, ubungo - kijitonyama - mwananyamala kuja mpaka kinondoni lile bwawa wanapatikana sana. Mimi kama mimi binafsi nimeshawavua kwa kwa ndoano, na naweza kusema hatukujua kama ana uwezo wa kuzalisha umeme kwasababu mara nyingi tukishamtoa mtoni kwa ndoano tulikuwa tunawapiga kichwani ili wafe tukiamini baada ya dakika chache wanageuka nyoka kumbe in unknown reason tulikuwa tunaepuka balaa la umeme wake dah. Mungu alitunusulu kweli kweli
 
Wanachonimaliza hwa wazungu ni jinsi wanavorekodi hizi issue....yaan huwa nashangaa kuliko wanachokirekodi.
Makamera wanayotumia ni kama yale yanayotumika kuchukua matukio ya mpira.sio lazima ukae karibu na eneo la tukio,unaweza ukawa mita mia au zaidi unafanya kuzoom in tu.
 
Hawa electricious eel wapo hata kwenye mabwawa mengi tu Dar mfano pale mkwajuni kwa chini mpaka kule jangwani wanapatikana, ubungo - kijitonyama - mwananyamala kuja mpaka kinondoni lile bwawa wanapatikana sana. Mimi kama mimi binafsi nimeshawavua kwa kwa ndoano, na naweza kusema hatukujua kama ana uwezo wa kuzalisha umeme kwasababu mara nyingi tukishamtoa mtoni kwa ndoano tulikuwa tunawapiga kichwani ili wafe tukiamini baada ya dakika chache wanageuka nyoka kumbe in unknown reason tulikuwa tunaepuka balaa la umeme wake dah. Mungu alitunusulu kweli kweli
Wanaitwa mkunga
 
Mmeamkaje? Kweli Mungu Anaumba.From Natgeo Tv Wanetoa Documentary Ya Samaki Umewe Yani Electric Eel.Ukimgusa Anakupiga Shoti Ufe Kabisa Unazikwa.
 
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

Madame S
 
Hongera kwa kuliona hilo, japo hapa hujataka kushirikisha wenzako
 
Back
Top Bottom