Elewa msingi na ubora wa wanaume wanaoitwa MARIO ili uanze kuwaheshimu kuanzia leo, Utajiri ni mipango ya Mungu pasipo kujali jinsia

mtoa mada , misuli iliyojijenga kwenye mwili wa mwanaume ni yakazi gani? na kwa nn mwili wa mwanamke ni tepetepe na laini tofauti na wanaume?
 
mtoa mada , misuli iliyojijenga kwenye mwili wa mwanaume ni yakazi gani? na kwa nn mwili wa mwanamke ni tepetepe na laini tofauti na wanaume?
Misuli ni kwajili kusisimua Uume! Mwanamke kwa kutanuka katika mabadiliko ya mwili kutokana na uzazi/kujifungua!
 
Maelekezo ya Kimungu kwa wanandoa hayakubagua nani awe na fedha nyingi kuliko mwenzake! Yoyote anaweza kuwa na fedha!
Hivi ile Consent kwamba "Mwanamke atazaa kwa uchungu na Mwanaume atavuja jasho" ilitokeaga wapi?
 
NAKAZIA
Hata mke wa mtume Mohammadi wa kwanza alikua na pesa
 
Kichwa Cha Uzi mpaka content za ndani nimeona ubatiri mtupu.
Broo kasome Tena bible.
Na usiiquote uongo Bible kujitetea umarioo wako😎
 
Kichwa Cha Uzi mpaka content za ndani nimeona ubatiri mtupu.
Broo kasome Tena bible.
Na usiiquote uongo Bible kujitetea umarioo wako😎
Wapi nimesema uongo; ebu fafanua
 
Hicho kitabu kinapatikana wapi? Ninaamini ndio kitakuwa na mafundisho sahihi ila church Father's hawataki watu wa ujuwe kweli.

Mbona wao wanakitumia hicho kitabu wakikosa vyote kwenye bible?

Kuna janjajanja hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…