Elewa msingi na ubora wa wanaume wanaoitwa MARIO ili uanze kuwaheshimu kuanzia leo, Utajiri ni mipango ya Mungu pasipo kujali jinsia

Elewa msingi na ubora wa wanaume wanaoitwa MARIO ili uanze kuwaheshimu kuanzia leo, Utajiri ni mipango ya Mungu pasipo kujali jinsia

mtoa mada , misuli iliyojijenga kwenye mwili wa mwanaume ni yakazi gani? na kwa nn mwili wa mwanamke ni tepetepe na laini tofauti na wanaume?
 
mtoa mada , misuli iliyojijenga kwenye mwili wa mwanaume ni yakazi gani? na kwa nn mwili wa mwanamke ni tepetepe na laini tofauti na wanaume?
Misuli ni kwajili kusisimua Uume! Mwanamke kwa kutanuka katika mabadiliko ya mwili kutokana na uzazi/kujifungua!
 
Maelekezo ya Kimungu kwa wanandoa hayakubagua nani awe na fedha nyingi kuliko mwenzake! Yoyote anaweza kuwa na fedha!
Hivi ile Consent kwamba "Mwanamke atazaa kwa uchungu na Mwanaume atavuja jasho" ilitokeaga wapi?
 
Soma kitabu cha mwanzo! Hakukuwa na jasho wala nini! Ilikuwa maisha ya bata kula kujigharagaza!
Baada Mungu kuona Adamu yuko peke yake! Akaleta mwanamke!

Wakapewa masharti ya kula bata kwa pamoja!

Mke anaona havimtoshi, AKATOKA KUMTAFTIA MUME CHAKULA TUNDA!

Hivyo hata maandiko yanatuonesha wa kwanza kutafta ni mwanamke! Alitoka akarudi na tunda!

Kosa LA Adamu ni alishindwa kuwa KICHWA kabla ya kula tunda angemshauri yule mwanamke kwamba lile tunda SIYO! Angemwambia Nina njaa lakini hilo tunda HAPANA Rudisha!

Kichwa kwa mwanaume ni kuiona hatari kabla ya mke!
Mke anaweza kuja na mipango mingi hata ya kutapeliwa kama Mme unatakiwa kuonyesha ukichwa kwa kumuongoza mkeo!
Mke ameumbwa kuleta mazuri na hata mabaya yeye atakuletea mezani!
Kazi kubwa kwa mume ni kuyachambua!
Utaletewa umbea, siri, kero na stress lakini yote hayo ni matunda chambua ya kula mengine mwambie arudishe alikoyatoa! Huo ndiyo ukichwa Mungu alimaanisha
NAKAZIA
Hata mke wa mtume Mohammadi wa kwanza alikua na pesa
 
Kichwa Cha Uzi mpaka content za ndani nimeona ubatiri mtupu.
Broo kasome Tena bible.
Na usiiquote uongo Bible kujitetea umarioo wako😎
 
Hivyo vitabu haviko "inspired" na Roho wa Mungu.

Viliondolewa kwa sababu mafundisho yake mengi yamejaa hekima za binadamu na yana contradict mafundisho ya Bwana Yesu.

Kwa mfano: Bwana Yesu na Mitume wake (mainly Paulo) alipinga mambo ya mme na mke kuachana.

Lakini huyu Bin Sira anatuambia tuwaache wake zetu ikiwa ....

"Tena iwapo haendi kama wewe utakavyo, mpe hati ya talaka." (Bin Sira 25:26)
Hicho kitabu kinapatikana wapi? Ninaamini ndio kitakuwa na mafundisho sahihi ila church Father's hawataki watu wa ujuwe kweli.

Mbona wao wanakitumia hicho kitabu wakikosa vyote kwenye bible?

Kuna janjajanja hapo.
 
Back
Top Bottom