Uchaguzi 2020 Elia Michael: Nimejaza na kurudisha fomu ya kuomba ridhaa ya kuwania Ubunge Jimbo la Buyungu

Tupe matokeo yake kama kaingia hata kumi bora.
 
Amechemka, ila kwangu naiona kama ni hatua ya kwanza.

He is still young, anaweza sasa kuanza kujiimarisha kwenye chama ili uchaguzi ujao awe ni mwenyeji kwenye chama.
 
Yule ni ng'ombe aliyekatwa mkia.
 
Yule ni ng'ombe aliyekatwa mkia.

Hahaha, ila siasa ina mambo mengi mkuu. Mimi sishangai kabisa.

Kumbuka wakitukimbia tunawapa majina mabaya, ila wakija kwetu tunawapamba na majina mazuri.

Mifano halisi ni kwa Lowassa, Sumaye, sasa tumemchukua Membe na wengine wengi tu.
 
Hahah mkuu kwanza yule bwn mdogo amepata kura 13 tu,lkn ana afadhali kuliko mashinji aliyelamba kura 2 tu.

Chadema walishajifunza kosa la kumpokea Lowassa na wafuasi wake lkn Zitto yeye naona kaamua kichwa ngumu tu.
 
Siasa hazitabiliki kabisa aisee.

Vijana kama Silinde, Nassari na Lijuakali walikuwa na career ambayo ni as good as assured kupitia CDM, ila sijui imekuaje aisee.

I hope Magufuli atawafanyia wepesi kwenye teuzi baada ya uchaguzi.
 
Kweli mkuu,lkn Nyerere angekuwepo enzi hizi angesikitika sana aisee.

Kwamba kuna watu wanakuja kugombea CCM ili wakishindwa tu wana uhakika wa kupata u-dc/rc/das/ kwa maana ya kwamba chama chake sasa kimegeuzwa ni cha kugawana ma vyeo tu?Na sio kwamba vyeo vitapewa kwa watu based on competence/merits?

Hawa wakina Nassari/Silinde/Lijualikali mimi naona ni kama future zao ndio zimekufa tu unless wategemee hivi vyeo vya kuteuliwa na Mkuu lkn kwny hivi vyeo vya kuingia ulingoni aisee they're done.
 
Ndiyo hiyo concern yangu pia, sioni wakirudi tena kwenye nafasi zinazotegemea kura.

Ni kama pia Kafulila, ugomvi wake na Zitto umekuwa mwiba kwake kwenye issue za ubunge. Naye anaungana na hawa jamaa tu.
 
Amechemka, ila kwangu naiona kama ni hatua ya kwanza.

He is still young, anaweza sasa kuanza kujiimarisha kwenye chama ili uchaguzi ujao awe ni mwenyeji kwenye chama.
Hakawezi na hakana muda huo kana tamaa ya madaraka kakiwa kadogo.

Kasubiri uteuzi tu huenda kakabahatika
 
Siasa hazitabiliki kabisa aisee.

Vijana kama Silinde, Nassari na Lijuakali walikuwa na career ambayo ni as good as assured kupitia CDM, ila sijui imekuaje aisee.

I hope Magufuli atawafanyia wepesi kwenye teuzi baada ya uchaguzi.
Katika maisha ogopa Sana kuipoteza cv na heshima yako kwa Jamii.Linda Sana ulichonacho utajua thamani yake kikishaondoka.
Mfano wanawake wanalilia ndoa Mungu anawapa ndoa wakishazipata wanaanza zivuruga ndoa,wanajiinua kiburi, dharau nk ndoa inakufa then unawakuta wanalia makanisani,au kupeleka kuku kulisha familia za waganga Hali wao wanashinda njaa.Umelilia kazi miaka umeipata unaanza kuchezea kazi,
Kwa herufi kubwa.
LINDA SANA ULICHONACHO SASA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…