DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Tupe matokeo yake kama kaingia hata kumi bora.Siyo swala la kulala, msimu huu utakuwa ni wa maajabu sana kwenye selections za chama.
Nilichosema ni kwamba anaweza kupita kwa kuteuliwa na Chama, ila swala la kura za wananchi ni issue nyingine.
Kina Mtulia, Julius, Mwita na wengine wote waliokacha upinzani walipita kugombea tena, je waliokuwepo walikuwa wamelala?