muafi
JF-Expert Member
- Oct 6, 2015
- 2,557
- 6,128
😁😁😁😁Polepole kasema wote wanaorudisha form bila kuvaa kijani basi wajue washakatwa tayari. Shukrani kwa kukichangia Chama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😁😁😁😁Polepole kasema wote wanaorudisha form bila kuvaa kijani basi wajue washakatwa tayari. Shukrani kwa kukichangia Chama
Alibebwa na nguvu ya chama.Mkuu kwa nini unasema yeye ni kidagaa?
Unasahau kama aliwahenyesha hawa hawa CCM akiwa CDM? Na kama unavyojua kawaida ya Mkulu wetu, anapenda wapinzani sana.
Huwezi jua.
Lizika na utendaji kata hujamsikia rais jpm kasema nini? Tamaaa vijana wa 1982+ utakosa vyote
Huyu hakipewa uDc?
Sio wachache, hakuna mamluki hata mmoja atapenya kwenye kura za maoni ndani ya CCM.Mkuu awanu hii Magu atakuwa makini, malalamiko ya kupendelea wapinzani ni makubwa mno ndani ya ccm, lazima apunguze na kuheshimu kura za maoni.
Kwa kura za maoni mpinzani kupita ni wachache mno
Hapo ndio ajue kwamba bila CHADEMA yeye ni sisimizi tu!Mkuu kwa nini unasema yeye ni kidagaa?
Unasahau kama aliwahenyesha hawa hawa CCM akiwa CDM? Na kama unavyojua kawaida ya Mkulu wetu, anapenda wapinzani sana.
Huwezi jua.
Hebu tafuta shuguli nyingine ya kufanya sasa
Ova
Hapo ndio ajue kwamba bila CHADEMA yeye ni sisimizi tu!
Kapata kura hata 30 hazifikiMatokeo yameendaje kwa huyu mjuba?
Kapata kura hata 30 hazifiki