TANZIA Elias Kwandikwa, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa afariki dunia

Maombi ya siku 7 yanaendekea. Ujue hivyo. Na siku 7 bado hazijaisha.
Zanzibar mbunge mteule wa Konde kupitia CCM amejiuzulu, tayari kuna uchaguzi mdogo hapo.

Huku Tanganyika kuna tetesi waziri kafariki, napo pananukia uchaguzi mdogo.

Hii siku ya leo ikoje jamani?!!!
 
Halafu mkuu wao alichaguliwa mfanyakazi bora Mei Mosi.. hakuna wanachofanya zaidi ya kutengeneza lile chujio la kujifukiza.
Daaah yan katika kipindi ambacho nilitegemea chuo chetu kikuu cha afya kutoa solution la tatizo lililopo ila sijaskia chochote
 
Chanjo inaanza kazi baada ya wiki 2. hata waliopata wawe makini...
Delta variant ni balaa imegonga hadi Wizara ya ULINZI. Je, alipata chanjo huyu? Kama alipata ilikuwa ni lini? Kama alikuwa hajapata tatizo lilikuwa ni lipi!? RIEP.
 
Reactions: BAK
Hakuna COVID tuendelee na maisha km kawaida.
 
hujawai sikia alikua latano karushwa darasa yuko lasaba
 

Rais mpe nafasi hii Mwigulu na Finance mpe Kimei
 
Advanced Diploma & CPA,hope umeelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…