TANZIA Elias Kwandikwa, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa afariki dunia

TANZIA Elias Kwandikwa, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa afariki dunia

Crap
Zanzibar mbunge mteule wa Konde kupitia CCM amejiuzulu, tayari kuna uchaguzi mdogo hapo.

Huku Tanganyika kuna tetesi waziri kafariki, napo pananukia uchaguzi mdogo.

Hii siku ya leo ikoje jamani?!!!
 
Unadhani hii Serikali iliyojaa waongo itasema kama alichanjwa au la!? Wakisema ukweli nitashangaa sana.
Nyie si ndo mnaimani na chanjo? Amesha chanja no problem [emoji23][emoji23][emoji23]

#HachanjwiMtu
 
Hivi vifo vya viongozi wetu kuanzia cha mkuu wa nchi vinawalakini kuna kitu nyuma yao ila watu wanatembelea Corona ndo maana majaliwa kapoa sana siku hizi toka ende madudu ya hazina na mwendokasi sijui walimtisha kidogo.
Kikwete ndio kiongozi wa kwanza kabisa kuonekana na barakoa kwenye jumuiko la kitaifa....🤔
 
Nyie si ndo mnaimani na chanjo? Amesha chanja no problem [emoji23][emoji23][emoji23]

#HachanjwiMtu
Chanjo sio chumvi kuwa ukichanjwa tu unakuwa na kinga. Inachukua mpaka wiki tatu kupata kinga ambayo kwa hii ya Johnson na Johnson efficiency ni asilimia 85.

Amandla....
 
R.I.P
Japo Massawe Alikutapeli ila ulikua mtu mwema sana.
 
Sipati picha ikitokea kiongozi aliyechanjwa mbele ya makamera akifariki kwa maradhi yoyote yale.

Pole Kwa wafiwa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Weka source basi na maelezo zaidi. It's too dry to be believed
.
IMG_20210802_235507.jpg
 
Back
Top Bottom