TANZIA Elias Kwandikwa, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa afariki dunia

TANZIA Elias Kwandikwa, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa afariki dunia

Ukiwa mgonjwa huruhusiwi kuchanjwa, sijui ni kwa sababu zipi lakini huo ndiyo ukweli.
Chanjo ni vijidudu vilevile vya ugonjwa ila vimekarabatiwa kitaalam ili viingizwe kwenye mwili kufanya kazi ya kuulinda mwili, haitakiwi mgonjwa achanjwe kwa sababu tayari ana vimelea vya ugonjwa kwa hiyo anapochanjwa inakua kama umemuongezea vijidudu zaidi na hatopata kinga zaidi ya kuzidiwa.
 
Johnson,Pfizer imeanza kazi!...🙆‍♂️🙆‍♂️
 
RIP Kwandikwa, nimeumia,alikuwa muungwana Sana na kawapambania Sana watu jimboni kwake.
 
  • Masikitiko
Reactions: ram
Kuna haja utafiti kufanyika kujua kama kovid tunayoambiwa tujikinge kwa barakoa, sanitizer na kunawa mikono ndio njia sahihi ya kupunguza maambukizi?

Kwa namna gani chanjo inasaidia kupunguza madhara na maambukizi ya kovid?

Tubadili namna ya kuchukua tahadhari dhidi ya maambukizi au tubaki na zilezile za awali?

Mwisho, kuna haja ya kutafuta namna ya kuounguza hofu na wasiwasi, hii inaweza kuleta madhara makubwa kuliko hata ugonjwa wenyewe.
Nina wasiwasi sana na huu ugonjwa wanaokufa wananafasi kutetea maisha yao kwa asilimia kubwa mnoo hivi kwa maskini kama mimi itakuaje?
 
 
Elias John Kwandikwa ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Ushetu kwa miaka 2015 – 2020 akarudishwa mwaka 2020 na kuteuliwa kuwa Waziri wa Ulinzi.
2867341_52B130A1-45FE-415C-BD27-B91D1D16C065 (1).jpeg
 
Sio ngoma. Jamani hapa nalia Sukuma gang mwenzangu katuacha 😭.Basi Samia wizara ya Ulinzi ataweka Mzanzibari mwenzake.
usifanye watu tudhani foul play maana wizara nyeti ile watu wajiangalie korona isije ikawa ndo kifungashio
 
Back
Top Bottom