Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 20,654
- 35,887
Samahani Boss ukiwa mgonjwa huruhusi kuchanja...
Sidhani kama utaweza kuchanjwa wakati upo katika mtungi wa gas
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Samahani Boss ukiwa mgonjwa huruhusi kuchanja...
Mbunge wa Ushetu na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mhandisi Elias John Kwandikwa amefariki dunia leo hii wakati akipatiwa matibabu jijini Dar es Salaam.
View attachment 1877861
Daah pumzika kwa amani Mkuu. Huyu ni mmoja wa mawaziri niliokuwa nawakubali sana. Alikuwa hana Makuu kabisa.Mbunge wa Ushetu na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mhandisi Elias John Kwandikwa amefariki dunia leo hii wakati akipatiwa matibabu jijini Dar es Salaam.
View attachment 1877861
Sio ngoma. Jamani hapa nalia Sukuma gang mwenzangu katuacha 😭.Basi Samia wizara ya Ulinzi ataweka Mzanzibari mwenzake.
Khaaa!Huyu c ndiye aliyetapeliwa na massawe
Tafiti zinasema ukichanja huwezi kufa kwa ugonjwa wowote labda ajali!
Samahani Boss ukiwa mgonjwa huruhusi kuchanja...
Hakuna amani kwa wezi wa kura. Na badoMaombi ya akina Mwamakula yameanza kujibiwa, tutaelewana tu.
Duh hakika mbona bado kijana sana huyu jamaa?
Ndio maana tunawaambia tendeni haki muishi kwa amani na muondoke kwa amani.
Huyu kafa bila kashifa yoyote na alikiwa unpopular maana hakuwa muongeaji na mtu wa matamko sana na inaonekana alikuwa sana karibu na Magufuli.
Msalimie Magufuli mwambie huku Matozo kama yote na wakina Mbowe na sabaya wapo gerezani.
Umekifa ukiwa bado kijana
Tuchukue hatua covid ipo serious!!
R.I.P
Simjui lkn nimeumia kweli, kwa kumuangalia tu kwenye picha anaonekana alikuwa so humble, apumzike kwa amani na Mungu atupe mwisho mwema sisi tukiobakiHuyu alikuwa mkimya sana, hakuwa na makuu, mcha Mungu na Mnyenyekevu wa moyo
Sababu ni ndogo tu Boss, mfumo wa kinga unakuwa uko chini mno, ikitokea umemchanja mtu mgonjwa ni kwamba unamuongezea stress zaidi yaani kwa ufupi hapo utakuwa umekanyaga clutch ya kumpeleka jehanamu mapema kabisa.Ukiwa mgonjwa huruhusiwi kuchanjwa, sijui ni kwa sababu zipi lakini huo ndiyo ukweli.
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Elias John Kwandikwa ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Ushetu, Shinyanga amefariki dunia usiku huu Katibu wa CCM Mkoa wa Shinyanga Donald Magesa amethibitisha taarifa hizi akisema "Nimepokea taarifa za msiba huu mzito kutoka uongozi wa CCM Wilaya ya Kahama; Mpendwa wetu alikuwa anaendelea na matibabu jijini Dar es Salaam"
Kweli sasa maono ya Mh. James Mbatia Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi kuwa Tanzania kupigwa sana na misiba inatimia.
Umenifanya nicheke msibani[emoji85]Huyu c ndiye aliyetapeliwa na massawe
Kweli kabisaVinaumana sana.
Baraka alizowaachia Mtakatifu John Magufuli hizo.
Serikali ya CCM isipotubu itaisha yote
Alikuwa Lugaro tangu last week . Changamoto ni covid. Kwandikwa was a good person tangu akiwa chief accountant national audit. Ni muungwana sana.Sababu ni ndogo tu Boss, mfumo wa kinga unakuwa uko chini mno, ikitokea umemchanja mtu mgonjwa ni kwamba unamuongezea stress zaidi yaani kwa ufupi hapo utakuwa umekanyaga clutch ya kumpeleka jehanamu mapema kabisa.
Ila bado sijaelewa kwanini wameficha hospitali aliyokuwa akipatiwa matibabu?
Dah asee we jamaaHuyu c ndiye aliyetapeliwa na massawe