TANZIA Elias Kwandikwa, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa afariki dunia

TANZIA Elias Kwandikwa, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa afariki dunia

Mkuu 'Monk'

Ngoja mimi nikusaidie kwa kifupi tu kujibu maswali yako uliyoweka hapa. Nikipata nafasi nzuri nitaandika mahali kwingine kwa kirefu zaidi ya hapa.
1. Kunawa mikono, kujipaka sanitizer, kuvaa barakoa, na kujitenga kwa umbali kiasi katika mikusanyiko ya watu na mengine ambayo hukuyaorodhesha, utafiti juu ya mambo hayo kupunguza kuenea kwa maambukizi, siyo kwa COVID-19 pekee, bali kwa magonjwa mengine ya milipuko, ulishafanyika miaka mingi sana na unaendelea kufanyika hadi leo hii na ugonjwa mpya kama huu.

Hizo ni njia sahihi kabisa zilizokwishathibitishwa kwamba zinapunguza milipuko.
KUZUIA KUENEA? -Hii inategemea na jinsi watu walivyoelimishwa katika kujikinga kwa kutumia njia hizo. Ni vigumu sana, na hata haiwezekani kila raia afanye kama inavyotakiwa kila mara ili aweze kujikinga kwa njia hizo.

2. Je, ni kwa namna gani chanjo inasaidia kupunguza madhara na maambukizi ya COVID-19?
Chanjo haizuii maambukizi. Inachofanya chanjo ni kupunguza madhara ya covid-19 ndani ya mwili wa mtu aliyechanjwa. Imekwishathibitishwa sasa bila ya shaka yoyote kwamba watu waliopata chanjo wakiambukizwa na COVID-19, na hata hii mpya ya Delta, watu hao hawaugui kiasi kikubwa kama wale wanaoambukizwa wakiwa hawajapata chanjo. Wengi wa wanaolazwa hospitalini sasa hivi kutokana na maabukizi ya corona ni wale ambao hawakupata chanjo kabisa. Na wanaokufa kwa wingi sasa hivi ni wale ambao hawakuwahi kupata chanjo.
Haya ni matokeo ya tafiti zinazoendelea hadi sasa. Matokeo ni bayana kabisa na wala hayana mkanganyiko juu yake.

Kwa hiyo, chanjo ya COVI-19, Haizuii mtu aliyechanjwa kuambukizwa ugonjwa wa corona, na yeye akiambukizwa, pia huambukiza wengine anaokuwa nao karibu yake. Bahati yake pekee ni kwamba, anapougua, hawi na hali mbovu zaidi, hata kutolazimika kulazwa hospitalini.
Kwa hiyo CHANJO inapunguza madhara ya ugonjwa kwa yule ambaye amepata chanjo.

3. Je tubadili namna ya kuchukua tahadhari dhidi ya maambukizi au tubaki na zile zile za awali?

Hili swali lako kidogo sikulielewa. Tubadili namna ya kuchukua tahadhari vipi, kwa njia zipi zilizokwishafanyiwa utafiti na kuonekana kwamba zinafaa zaidi ya hizi zilizopo?
Na "zile zile za awali", una maana gani, zile za kujifukiza au? Hapa sikukuelewa kwa kweli.

4. Kutafuta namna ya kupunguza hofu na wasiwasi, hofu inaweza kuleta madhara makubwa kuliko hata ugonjwa wenyewe.
Hii ni 'myth' inayotumiwa kisiasa mkuu wangu 'Monk'.
Kuna hofu zaidi ya kumwona mtu mzima akidondoka barabarani na kufa hapo hapo mbele za watu? Tumshukuru Mungu, kwenye eneo letu hili la Afrika, Mwenyezi katuwekea kinga ambayo hadi sasa haijulikani inatokana na kitu gani juu ya ugonjwa huu.

Hebu piga picha hii kichwani mwako.
Hapo kijijini kwenu nusu ya wakazi wake wapate maambukizi ya nguvu, na dispensari na zahanati zilizopo, pamoja na hospitali ya Wilaya hazina uwezo wa kuwahudumia watu hao. Kama kuna mtungi mmoja wa hewa ya Oksijeni, wagombee watu 20 au zaidi. Kuna hofu zaidi ya hapo?

Mungu wetu ni mkubwa, pengine kwa kudra zake tu atatuepusha na madhira ya aina hii yasitokee kamwe. Lakini hilo sio liwe mbadala wa sayansi na kufanya mambo kwa uhakika unaojulikana.

Ngoja nikuachie hapa.

Umejibu vema sana na nnashukuru kwa mchango wako mkuu.
Kwanza kabisa, naomba nikutaarifu kwamba nilishaugua huu ugonjwa na nikapona, nnavyokwambia hofu inawamaliza watu na kufanya hali iwe mbaya zaidi nnaelewa nnachokisema.

Tokea mwaka huu uanze, umetumia usafiri wa public? Tafiti zilizosababisha tukaambiwa tutadondoka kama kuku na maiti zitazagaa si ni hizo hjzo projection za kisayansi? Na kimsingi kwa tunavyoishi na tafiti za kitaalam zinavyoelekeza, iliktakiwa tupukutike, tumeendelea kujazana bila kuzingatia tahadhari kama tulivyoambiwa na wataalam kwamba uongonjwa unaenea kwa hewa. Niambie kitu gani kimezuia tusipukutike kwa kasi kama tafiti zinavyoelekeza pale njia zilizopendekezwa zinapokiukwa.

Maana ya chanjo ni nini mkuu? Achilia mbali ya Covid-19, neno vaccination linamaanisha nini kwako kama mtafiti?

Hakuna mahali nimetaja kujifukiza...ili uelewe swali langu, naomba nieleze Covid-19 ni ugonjwa wa aina gani, dalili zake ni zipi na unaambukizwa kwa njia gani? Naomba urejee tafiti za kitaalam lakini pia utumie akili yako vizuri kwa sababu ntakurudisha kwenye maswali ya kawaida na hali halisi, uwe tayari kuhusianisha nadharia za utafiti na ntakayoyauliza baada ya maswali yako.

Nimeuliza hayo maswali sio kwamba nabeza hizo tahadhari au kutokuthamini kinga, swali ni kwamba, tunauelewa huu ugonjwa vizuri na tunatumia njia sahihi kupambana nao? Hapo ndio msingi wa maswali yote haya. Wengi sasa hivi dalili tulizoambiwa ndio za Covid 19 hatuzioni tena, watu hawakohoi, hawana mafua, ni homa, viungo kuuma, mahuti na kukutwa na mauti. Bado tunaambukizana kwa hewa?
 
Hizi degree za Mzumbe zinazoiva haraka kama maharage ya Mbeya, Takataka tupu nchi hii ya shetani eti leo ni Waziri. Bila Basic degree ni ubabaishaji mtupu.
MASTERS OF BUSINESS ADMINISTRATION (MBA):
 
Yeye Mwamakula hata kufa ? Toka lini kufa ni sherehe kwa mwingine wakati ni wajibu?
Mimi huyu sijawahi kumsikia lkn wote ndio hao hao wanahudumu katka regime ya Katili , muuaji mkubwa. Ngoja amkumbatie Jiwe huko liliko
 
 
Sio ngoma. Jamani hapa nalia Sukuma gang mwenzangu katuacha [emoji24].Basi Samia wizara ya Ulinzi ataweka Mzanzibari mwenzake.

Ni majonzi maana massawe nae katoka kumtapeli marehemu laki tano juzi tu hapo,
 
Mbunge wa Ushetu na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Elias John Kwandikwa amefariki dunia leo hii wakati akipatiwa matibabu jijini Dar es Salaam.



View attachment 1877861


CURRICULUM VITAE – (CV)

SURNAME: KWANDIKWA
FIRST NAME: ELIAS
OTHER NAME: JOHN
SEX: MALE
MARITAK STATUS: MARRIED
DATE OF BIRTH: 1st JULY 1966
TRIBE: SUKUMA

EDUCATION:

CERTIFICATE OF PRIMARY SCHOOL EDUCATION:
Kisuke Primary School – Kahama (1977-1983)
CERTIFICATE OF SECONDARY SCHOOL EDUCATION:
Mwenge Secondary School – Singida (1984-1987)
ADVANCED CERTIFICATE OF SECONDARY SCHOOL EDUCATION (ACSSE):
Shinyanga Secondary School Shinyanga (1988-1990)
ADVANCED DIPLOMA IN ACCOUNTANCY:
Institute Of Finance Managements- IFM ,1999
MASTERS OF BUSINESS ADMINISTRATION (MBA):
Eastern and Southern African Management Institute –ESAMI, 2015

LEADERSHIP AND POLITICAL RESPONSIBILITIES
Minister-Defence and National Service- Dec 202 -today
Deputy Minister – Works 2017 – 2020
Member of Parliament 2015-2020
CCM – District Central Committee Member – Kibaha Town 2012-2015
CCM - District Central Committee Member – Kahama District 2015-2020
CCM – Regional Executive Committee Member Shinyanga Regional 2015-2020
Public Investment Committee Member – Tanzania Parliament 2015 – 2017
ALAT Executive Committee Member 2015-2020

EMPLOYMENTS - PROMOTIONS

NATIONAL AUDIT OFFICE – TANZANIA (NAOT)
Assistant Examiner of Accounts II (1990-1995)
Assistant Examiner of Accounts I (1995-1997)
Examiner of Accounts III (1997-1999)
Auditor III (1999-2003)
Auditor II (2003-2004)
Senior Auditor (2004-2005)
Chief Accountant (2005-todate)
Second Auditor Incharge – Kibaha
Audit Branch (1999-2000)
Second Auditor Incharge – TRA-VAT (2000-2005)
Head, Finance and Account Unit (Chief Accountant)
NATIONAL Audit Office(2005 – 2015)

MEMBER OF PARLIAMENT: Parliament of Tanzania – 2015-2020
DEPUTY MINISTER: Ministry of Works, Transport and Communication 2017-2020--

PROFESSIONAL QUALIFICATION
Advanced Diploma in Accountancy, IFM -1999
Certified Public Accountant (CPA-T), NBAA-2004
Associate Certified Public Accountant ,NBAA-2007

PROFESSIONAL ASSIGNMENTS
Trainer/Facilitator – Auditor Qualifying Examination – Morogoro Oct., 2004
Facilitator on a Training to Standing Parliamentary Accounts Committees on understanding of the CAGs Reports Financial Statements analysis and interrogation skills (April-May, 2008)

IN-SERVICETRAINING/EXAMINATION
Lower Government Accountancy -
Certificate (President's Office, 1995)
Higher Government Accountancy -
Certificate (President's Office, 1995)
Auditors Qualifying Examination Certificate (President's Office , 2004)

Apumzike kwa amani Elias Kuandikwa.

Ni yale madhara ya kucheleshwa mno kwa Janssen tokea Johnson & Johnson.

Yule bwana wa Chatto hawezi kukwepa lawama.

Hadi pale tutakapokuwa tumechanjwa safari itakuwa bado sana.

Tutege masikio.
 
Sukuma gang tunalia .
Pole kwa kufiwa ndugu, Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki cha msiba.

Ila hii comment yako ni tata, inachanganya watu so ni vyema ukaiedit au kama kama umeandika kwa malengo yako maalum basi iache hivyo hivyo.
 
Tumshukuru Mungu, kwenye eneo letu hili la Afrika, Mwenyezi katuwekea kinga ambayo hadi sasa haijulikani inatokana na kitu gani juu ya ugonjwa huu.
WE are living in a sea of microbes as opposed to Western World and the US. Mfano tunaishi kwenye bahari ya hewa ambayo virus wa mafua ndio wanaotawala anga.

Tumekuwa nao kwa miaka tangu dunia inaumbwa. Miili yetu imejenga some sort of immunity against an array of millions of strains of mafua viruses which are related to covid virus.

It is most likely kuna cross-reacting antibodies ambazo zinatusaidia kumkabili covid virus na hivyo kutoshudia vifo kama ilivyokuwa imetabiriw.

I am sure ukifanya analysis ya genetic diversity ya corona virus na mafua virus utaona some similarity of antigens between the two ie Common cold virus and corona virus and hence cross reacting antibodies
 
Pole kwa kufiwa ndugu, Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki cha msiba.

Ila hii comment yako ni tata, inachanganya watu so ni vyema ukaiedit au kama kama umeandika kwa malengo yako maalum basi iache hivyo hivyo.

Usukuma kwenye CV unatia kichefu chefu. Binafsi sikumbuki kuwahi kuona CV yenye kabila la mtu mumo kwa mumo.

Au nasema uongo dada Victoire?
 
Back
Top Bottom