TANZIA Elias Kwandikwa, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa afariki dunia

TANZIA Elias Kwandikwa, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa afariki dunia

Mshikaji Covid 19 ndio imemmchomoa ama alikua na magonjwa mengine ama tatizo lingine?

Sipendi hii tabia ama hali ya kuhusisha kila kifo na covid, it is like hapo kabla ama baada ya Covid kuja basi magonjwa mengine yamechukua likizo ama yameisha.

Kampeni ya chanjo soon itachukua muelekeo mwingine iwapo huyu jamaa alichanjwa na uzushi ama ukweli kua amekufa kwa covid ukasambaa, itakua shughuli.

Anyway, apumzike kwa amani.
 
Serikali ikiendelea kufanya zoezi la kudhibiti corona ni jambo la hiari mbona itakuwa noma na nusu maana utachukua wewe tahadhari 1000 hawachukui mwisho wa siku inakuwa haina maana
 
Juzi akiwa na mazungumzo na balozi wa Rwanda kwenye mapambano na waasi Kaskazini mwa Msumbiji akiwa buheri wa afya.
Shida ya huyu delta wala hutougua Sana utajiskia uchovu kichwa mwisho wa siku pumz inakata.RIP
 
Jonhson & jonhson
Upotoshaji utakuwa mfuasi wa Gwajima tokea lini mgonjwa wa corona akapewa chanjo marehemu inawezekana alianza kuugua kabla ya chanjo haijazinduliwa TZ na lazima upone kwanza ndio upate vaccine.

Vile vile chanjo sio efficacy 100%.

kuna wachache sana hata wakipewa chanjo watakufa lazima.

Inaweza pia alikuwa na strong underlying disease.

Msizidi kupotosha kama Gwajima chanjo zinasaidia sana vifo vimepungua sana US na Ulaya sababu ya chanjo.
 
Back
Top Bottom