Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Wasomi ingilieni kati muhas wanafanya nini? Sijaona hata wanaadika andiko lolote la covid elimu ya tanzania tunapigwa sanaaaa
Hata kuwatundika dripu wagonjwa ni solution pia 🙂Daaah yan katika kipindi ambacho nilitegemea chuo chetu kikuu cha afya kutoa solution la tatizo lililopo ila sijaskia chochote
Mkuu 'Monk'
Ngoja mimi nikusaidie kwa kifupi tu kujibu maswali yako uliyoweka hapa. Nikipata nafasi nzuri nitaandika mahali kwingine kwa kirefu zaidi ya hapa.
1. Kunawa mikono, kujipaka sanitizer, kuvaa barakoa, na kujitenga kwa umbali kiasi katika mikusanyiko ya watu na mengine ambayo hukuyaorodhesha, utafiti juu ya mambo hayo kupunguza kuenea kwa maambukizi, siyo kwa COVID-19 pekee, bali kwa magonjwa mengine ya milipuko, ulishafanyika miaka mingi sana na unaendelea kufanyika hadi leo hii na ugonjwa mpya kama huu.
Hizo ni njia sahihi kabisa zilizokwishathibitishwa kwamba zinapunguza milipuko.
KUZUIA KUENEA? -Hii inategemea na jinsi watu walivyoelimishwa katika kujikinga kwa kutumia njia hizo. Ni vigumu sana, na hata haiwezekani kila raia afanye kama inavyotakiwa kila mara ili aweze kujikinga kwa njia hizo.
2. Je, ni kwa namna gani chanjo inasaidia kupunguza madhara na maambukizi ya COVID-19?
Chanjo haizuii maambukizi. Inachofanya chanjo ni kupunguza madhara ya covid-19 ndani ya mwili wa mtu aliyechanjwa. Imekwishathibitishwa sasa bila ya shaka yoyote kwamba watu waliopata chanjo wakiambukizwa na COVID-19, na hata hii mpya ya Delta, watu hao hawaugui kiasi kikubwa kama wale wanaoambukizwa wakiwa hawajapata chanjo. Wengi wa wanaolazwa hospitalini sasa hivi kutokana na maabukizi ya corona ni wale ambao hawakupata chanjo kabisa. Na wanaokufa kwa wingi sasa hivi ni wale ambao hawakuwahi kupata chanjo.
Haya ni matokeo ya tafiti zinazoendelea hadi sasa. Matokeo ni bayana kabisa na wala hayana mkanganyiko juu yake.
Kwa hiyo, chanjo ya COVI-19, Haizuii mtu aliyechanjwa kuambukizwa ugonjwa wa corona, na yeye akiambukizwa, pia huambukiza wengine anaokuwa nao karibu yake. Bahati yake pekee ni kwamba, anapougua, hawi na hali mbovu zaidi, hata kutolazimika kulazwa hospitalini.
Kwa hiyo CHANJO inapunguza madhara ya ugonjwa kwa yule ambaye amepata chanjo.
3. Je tubadili namna ya kuchukua tahadhari dhidi ya maambukizi au tubaki na zile zile za awali?
Hili swali lako kidogo sikulielewa. Tubadili namna ya kuchukua tahadhari vipi, kwa njia zipi zilizokwishafanyiwa utafiti na kuonekana kwamba zinafaa zaidi ya hizi zilizopo?
Na "zile zile za awali", una maana gani, zile za kujifukiza au? Hapa sikukuelewa kwa kweli.
4. Kutafuta namna ya kupunguza hofu na wasiwasi, hofu inaweza kuleta madhara makubwa kuliko hata ugonjwa wenyewe.
Hii ni 'myth' inayotumiwa kisiasa mkuu wangu 'Monk'.
Kuna hofu zaidi ya kumwona mtu mzima akidondoka barabarani na kufa hapo hapo mbele za watu? Tumshukuru Mungu, kwenye eneo letu hili la Afrika, Mwenyezi katuwekea kinga ambayo hadi sasa haijulikani inatokana na kitu gani juu ya ugonjwa huu.
Hebu piga picha hii kichwani mwako.
Hapo kijijini kwenu nusu ya wakazi wake wapate maambukizi ya nguvu, na dispensari na zahanati zilizopo, pamoja na hospitali ya Wilaya hazina uwezo wa kuwahudumia watu hao. Kama kuna mtungi mmoja wa hewa ya Oksijeni, wagombee watu 20 au zaidi. Kuna hofu zaidi ya hapo?
Mungu wetu ni mkubwa, pengine kwa kudra zake tu atatuepusha na madhira ya aina hii yasitokee kamwe. Lakini hilo sio liwe mbadala wa sayansi na kufanya mambo kwa uhakika unaojulikana.
Ngoja nikuachie hapa.
Yeye Mwamakula hata kufa ? Toka lini kufa ni sherehe kwa mwingine wakati ni wajibu?Maombi ya akina Mwamakula yameanza kujibiwa, tutaelewana tu.
MASTERS OF BUSINESS ADMINISTRATION (MBA):
RIP!
Mimi huyu sijawahi kumsikia lkn wote ndio hao hao wanahudumu katka regime ya Katili , muuaji mkubwa. Ngoja amkumbatie Jiwe huko lilikoYeye Mwamakula hata kufa ? Toka lini kufa ni sherehe kwa mwingine wakati ni wajibu?
apigwe huko huko aje kwenye sanduku shenziItakuwa hiyo hiyo. Na huyo mama anayetanga tanga huku na kule anahatarisha maisha yake.
apigwe huko huko aje kwenye sanduku shenzi
Hii sentesi yako mbona kama imelenga kuchekesha
Sio ngoma. Jamani hapa nalia Sukuma gang mwenzangu katuacha [emoji24].Basi Samia wizara ya Ulinzi ataweka Mzanzibari mwenzake.
Mbunge wa Ushetu na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Elias John Kwandikwa amefariki dunia leo hii wakati akipatiwa matibabu jijini Dar es Salaam.
View attachment 1877861
CURRICULUM VITAE – (CV)
SURNAME: KWANDIKWA
FIRST NAME: ELIAS
OTHER NAME: JOHN
SEX: MALE
MARITAK STATUS: MARRIED
DATE OF BIRTH: 1st JULY 1966
TRIBE: SUKUMA
EDUCATION:
CERTIFICATE OF PRIMARY SCHOOL EDUCATION:
Kisuke Primary School – Kahama (1977-1983)
CERTIFICATE OF SECONDARY SCHOOL EDUCATION:
Mwenge Secondary School – Singida (1984-1987)
ADVANCED CERTIFICATE OF SECONDARY SCHOOL EDUCATION (ACSSE):
Shinyanga Secondary School Shinyanga (1988-1990)
ADVANCED DIPLOMA IN ACCOUNTANCY:
Institute Of Finance Managements- IFM ,1999
MASTERS OF BUSINESS ADMINISTRATION (MBA):
Eastern and Southern African Management Institute –ESAMI, 2015
LEADERSHIP AND POLITICAL RESPONSIBILITIES
Minister-Defence and National Service- Dec 202 -today
Deputy Minister – Works 2017 – 2020
Member of Parliament 2015-2020
CCM – District Central Committee Member – Kibaha Town 2012-2015
CCM - District Central Committee Member – Kahama District 2015-2020
CCM – Regional Executive Committee Member Shinyanga Regional 2015-2020
Public Investment Committee Member – Tanzania Parliament 2015 – 2017
ALAT Executive Committee Member 2015-2020
EMPLOYMENTS - PROMOTIONS
NATIONAL AUDIT OFFICE – TANZANIA (NAOT)
Assistant Examiner of Accounts II (1990-1995)
Assistant Examiner of Accounts I (1995-1997)
Examiner of Accounts III (1997-1999)
Auditor III (1999-2003)
Auditor II (2003-2004)
Senior Auditor (2004-2005)
Chief Accountant (2005-todate)
Second Auditor Incharge – Kibaha
Audit Branch (1999-2000)
Second Auditor Incharge – TRA-VAT (2000-2005)
Head, Finance and Account Unit (Chief Accountant)
NATIONAL Audit Office(2005 – 2015)
MEMBER OF PARLIAMENT: Parliament of Tanzania – 2015-2020
DEPUTY MINISTER: Ministry of Works, Transport and Communication 2017-2020--
PROFESSIONAL QUALIFICATION
Advanced Diploma in Accountancy, IFM -1999
Certified Public Accountant (CPA-T), NBAA-2004
Associate Certified Public Accountant ,NBAA-2007
PROFESSIONAL ASSIGNMENTS
Trainer/Facilitator – Auditor Qualifying Examination – Morogoro Oct., 2004
Facilitator on a Training to Standing Parliamentary Accounts Committees on understanding of the CAGs Reports Financial Statements analysis and interrogation skills (April-May, 2008)
IN-SERVICETRAINING/EXAMINATION
Lower Government Accountancy -
Certificate (President's Office, 1995)
Higher Government Accountancy -
Certificate (President's Office, 1995)
Auditors Qualifying Examination Certificate (President's Office , 2004)
alaaniwe Jiwe huko aliko kwa shetaniApumzike kwa amani Elias Kuandikwa.
Ni yale madhara ya kucheleshwa mno kwa Janssen tokea Johnson & Johnson.
....
Huyu c ndiye aliyetapeliwa na massawe
Pole kwa kufiwa ndugu, Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki cha msiba.Sukuma gang tunalia .
WE are living in a sea of microbes as opposed to Western World and the US. Mfano tunaishi kwenye bahari ya hewa ambayo virus wa mafua ndio wanaotawala anga.Tumshukuru Mungu, kwenye eneo letu hili la Afrika, Mwenyezi katuwekea kinga ambayo hadi sasa haijulikani inatokana na kitu gani juu ya ugonjwa huu.
Pole kwa kufiwa ndugu, Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki cha msiba.
Ila hii comment yako ni tata, inachanganya watu so ni vyema ukaiedit au kama kama umeandika kwa malengo yako maalum basi iache hivyo hivyo.
Ok.Usukuma kwenye CV unatia kichefu chefu.