Zanzibar mbunge mteule wa Konde kupitia CCM amejiuzulu, tayari kuna uchaguzi mdogo hapo.
Huku Tanganyika kuna tetesi waziri kafariki, napo pananukia uchaguzi mdogo.
Hii siku ya leo ikoje jamani?!!!
Ana visivii vya ajabu eti one day intensive semina [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ninamfahamu tokea anasoma Shybush tukiwa wadogo kabisa. Hadi alipopata uwaziri hakuwa na makuu kijana wa watu. [emoji24].
Nyie si ndo mnaimani na chanjo? Amesha chanja no problem [emoji23][emoji23][emoji23]
#HachanjwiMtu
Kikwete ndio kiongozi wa kwanza kabisa kuonekana na barakoa kwenye jumuiko la kitaifa....🤔Hivi vifo vya viongozi wetu kuanzia cha mkuu wa nchi vinawalakini kuna kitu nyuma yao ila watu wanatembelea Corona ndo maana majaliwa kapoa sana siku hizi toka ende madudu ya hazina na mwendokasi sijui walimtisha kidogo.
Johnson,Pfizer imeanza kazi!...[emoji2297][emoji2297]
Chanjo sio chumvi kuwa ukichanjwa tu unakuwa na kinga. Inachukua mpaka wiki tatu kupata kinga ambayo kwa hii ya Johnson na Johnson efficiency ni asilimia 85.Nyie si ndo mnaimani na chanjo? Amesha chanja no problem [emoji23][emoji23][emoji23]
#HachanjwiMtu
Mwongo ni yule gaidi wa CHADEMAUnadhani hii Serikali iliyojaa waongo itasema kama alichanjwa au la!? Wakisema ukweli nitashangaa sana.
Mbona hata wasio vigogo tunawapoteza mkuu.Aisee vigogo tu huu mwaka huu na mwaka jana kuanzia term ya pili tanzania ineshuhudia vifo vya watu wazito
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sipati picha ikitokea kiongozi aliyechanjwa mbele ya makamera akifariki kwa maradhi yoyote yale.
Pole Kwa wafiwa.
Kwa hiyo watu wakifariki ni maombi mabaya ?!!!😲😲😲Maombi ya akina Mwamakula yameanza kujibiwa, tutaelewana tu.
.Weka source basi na maelezo zaidi. It's too dry to be believed
Mwongo ni yule gaidi wa CHADEMA
ConspiracyMbona wanaokufa wana 99% ya kujizuia wanapesa wana access ya huduma nzuri za afya? Kuna namna hapa sio hii covid mtaaani huku tunapumuliana lakini wapi
Mzee wa kushadadia makorona umetia timu.Pole sana Victoire Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi, AMEN
ExplainConspiracy