TANZIA Elias Kwandikwa, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa afariki dunia

TANZIA Elias Kwandikwa, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa afariki dunia

Naomba ufafanuzi wa kiitifaki wanajamvi.

Nani anatakiwa kumpa pole nani kama ilivyo katika kichwa cha thread hapo juu.

Niko hapo kuelimishwa, elimu haina mwisho.

RIP waziri wa ulinzi

cc : Pascal Mayalla
 
Moja ya watu waliokufa bila kashifa, mtu muungwana sana sana.

Msalimie Magufuli mwambie huku Matozo kama yote.

Covid bwana haya bwana!!
Kama amekufa akiwa ccm hawezi kukosa kashfa. Kashfa ya kwanza ya kwanza kabisa walipitishwa tu bila kupigiwa kura na wananchi. Kwa bunge hili huo ndio mtihani wa kwanza,kwa yoyote anaedhani ni muadilifu
 
Maisha ni safari, na safari ya mwenzetu kwa maisha ya duniani imeishia hapo...
 
Msemaji wa Hospitali ya taifa Muhimbili amesema aliyekuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa hayati Elias Kwandikwa alilazwa hospitalini hapo kwa muda wa siku 14 kabla umauti haujamfika.

RIP Kwandikwa
 
Mkuu unapondaje CV ya jamaa? Hujui hiyo ndo iliyomfikisha hapo alipo.

Awamu ile iliturudisha nyuma sana.

"kabila lina umuhimu gani zaidi ya kwenye kufanya matambiko?" -- Mwalimu Nyerere.
 
Msemaji wa Hospitali ya taifa Muhimbili amesema aliyekuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa hayati Elias Kwandikwa alilazwa hospitalini hapo kwa muda wa siku 14 kabla umauti haujamfika.

RIP Kwandikwa
Uganjwa gani? isije ikawa chagamoto za kupumua wakati na chanjo alikua tayari amesha chanja
 
Back
Top Bottom