Elibariki Kingu: Mpina alilipa kila chombo cha habari 10,000,000, wabunge watoa tamko kumlaani wakinukuu korani na biblia

Hivi mbona hawajibi hoja..mojawapo ya hoj ya Moina ilikuwa ni Vikanouni ucheara vilipewa kibali Cha kuagusa sukari,
.Kas huu nao ni Uongo ,Si wakanushe!
 
Ni rasmi sasa Mpina ni mbunge aliyelaaniwa. Hii imetokana na Askofu Gwajima kunukuu aya ya biblia ambayo wabunge waliitikia ameen, aya hiyo inapinga kumfitini nduguyo.

Baadhi ya wabunge walimfananisha Luhaga Mpina na nguruwe, na wengine walimfananisha na nyani.

Elibariki Kingu ameeleza Bunge kwamba Mpina alilipa kila chombo cha habari milioni kumi ili kusambaza habari zake za uongo na za ufitini. Watu wanahoji Mpina alipata wapi zaidi ya milioni 150 kulipa vyombo hivyo, na baadhi wanasema alifadhiliwa na mabwana zake wenye viwanda vya sukari.

Mpina ajitafakari.
View attachment 3025121
Eti unamwita Gwajima Askofu anayemlaani Mpina, huyu Askofu wa ngono leo alaani mtu?
CCM ni CCM wanatawala watu wao, na wataendelea; Wananchi kama mfano wako wewe ndiyo waumiaji na bado mnapiga makofi ati Mpina kalaaniwa; nyie ndiyo mmelaniwa
 
Wanafiki tu hawa kumanina zao, na hawa ndio maadui wa taifa hili.. Posho kubwa, mshahara mnono na marupurupu ya kufilisi taifa lenye shida za umeme, vifaa tiba, elimu, afya, barabara, viwanda, maji, miundombinu n.k
 
Eti unamwita Gwajima Askofu anayemlaani Mpina, huyu Askofu wa ngono leo alaani mtu?
CCM ni CCM wanatawala watu wao, na wataendelea; Wananchi kama mfano wako wewe ndiyo waumiaji na bado mnapiga makofi ati Mpina kalaaniwa; nyie ndiyo mmelaniwa
Baada ya hii laana, hakuna jambo lolote atakalofanya Mpina litafanikiwa. Amefungwa mbinguni na duniani kwa laana kuu
 
Ni rasmi sasa Mpina ni mbunge aliyelaaniwa. Hii imetokana na Askofu Gwajima kunukuu aya ya biblia ambayo wabunge waliitikia ameen, aya hiyo inapinga kumfitini nduguyo.

Baadhi ya wabunge walimfananisha Luhaga Mpina na nguruwe, na wengine walimfananisha na nyani.

Elibariki Kingu ameeleza Bunge kwamba Mpina alilipa kila chombo cha habari milioni kumi ili kusambaza habari zake za uongo na za ufitini. Watu wanahoji Mpina alipata wapi zaidi ya milioni 150 kulipa vyombo hivyo, na baadhi wanasema alifadhiliwa na mabwana zake wenye viwanda vya sukari.

Mpina ajitafakari.
View attachment 3025121
Huyu Kingu tukianza kuandamana kama kule Kenya ndio wakuanza nae, kwa, kuwa anaongea pumba sana.Na ana makandomakando mengi.
 
MUNGU WA KUWASIKILIZA WABUNGE JAHIRI WA CCM NI YUPI? AU WANA MUNGU WAO WAMEMCHONGA? MUNGU AMSIKILIZE GWAJIMA MWIZI WA KURA?
 
Huyu Kingu tukianza kuandamana kama kule Kenya ndio wakuanza nae, kwa, kuwa anaongea pumba sana.Na ana makandomakando mengi.
Uhuru na ukombozi wa nchi hii hautapatikana kwa kuandamana, hata Mzee Nyerere alikabidhiwa nchi na mkoloni kwa kukaa na kuongea mezani
 
Kuandamana ndio solution. Soma history zote za hii dunia. Hauwez kukaa tu, bila kupambana. Unless uwe na matatizo ya akili.

Huu ujinga wa wazee wa CCM kuwapachika watoto wao kuwa viongoz, tena ambao waliiba mitihani ya kidato cha nne na wengine walifeli ni dharau sana. Mungu atatusaidia watanzania. Kenya wameanza sisi tutamaliza.
 
Ni rasmi sasa Mpina ni mbunge aliyelaaniwa. Hii imetokana na Askofu Gwajima kunukuu aya ya biblia ambayo wabunge waliitikia ameen, aya hiyo inapinga kumfitini nduguyo.

Baadhi ya wabunge walimfananisha Luhaga Mpina na nguruwe, na wengine walimfananisha na nyani.

Elibariki Kingu ameeleza Bunge kwamba Mpina alilipa kila chombo cha habari milioni kumi ili kusambaza habari zake za uongo na za ufitini. Watu wanahoji Mpina alipata wapi zaidi ya milioni 150 kulipa vyombo hivyo, na baadhi wanasema alifadhiliwa na mabwana zake wenye viwanda vya sukari.

Mpina ajitafakari.
View attachment 3025121
Rushwa inaitafuna hii nchi, bunge limegeuka mahakama sababu ya rushwa
 
Kuandamana ndio solution. Soma history zote za hii dunia. Hauwez kukaa tu, bila kupambana. Unless uwe na matatizo ya akili.

Huu ujinga wa wazee wa CCM kuwapachika watoto wao kuwa viongoz, tena ambao waliiba mitihani ya kidato cha nne na wengine walifeli ni dharau sana. Mungu atatusaidia watanzania. Kenya wameanza sisi tutamaliza.
Nakuelewa sn comrade
 
Back
Top Bottom