Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Ndiyo maana ni taifa la wajinga haswaUhuru na ukombozi wa nchi hii hautapatikana kwa kuandamana, hata Mzee Nyerere alikabidhiwa nchi na mkoloni kwa kukaa na kuongea mezani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo maana ni taifa la wajinga haswaUhuru na ukombozi wa nchi hii hautapatikana kwa kuandamana, hata Mzee Nyerere alikabidhiwa nchi na mkoloni kwa kukaa na kuongea mezani
Yeah propaganda kama propaganda nyingine tu
Huyu Kingu ni mbunge wa jimbo gani ?Au ndio wale wale waliopita bila kupigwa?Mmmh.... Kingu naye ni wakuaminiwa!!?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Achana naye mcheza pornogry huyoGwajima hana moral authority ya kumlaani mtu yeye alijirekodi wakati anapiga miti,na pia alivunja ndoa ya Emmanuel Mbasha.