ELIMU BURE: Gharama ya kumsomesha mtoto mmoja wa primary kwa Mwaka ni 4MIL, na serikali inalipa kila mwaka
Hili limesemwa na Mwenyekiti wa Shule Binafsi Tanzania. Na amemshauri Rais akae na wataalam wake wamwambie ukweli.
Anapoteza pesa nyingi sana, wakati Elimu itolewayo duni
Bado mtoto anakaa chini, analeta maharage na Mchele!
Bora, Elimu bure ifutwe tu turudi mwanzo.