ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 8,143
- 17,639
Unahisi katunga?Gharama sio michango pekee. Pia mishahara ya walimu na vitendea kazi vinavyotolewa na serikali pamoja na vyakula kwa shule za bweni pia maji na umeme.
Kwa hio ukichukua gharama hizo gawa kwa idadi ya wanafunzi unaweza pata ni kama milion 2+ average.
Ila milioni 4.8 parefu katupiga hata kwa wanafunzi wa special schoo sidhani kama wanafikisha hio.
Serikali ilishawahi kuainisha gharama?