ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 7,845
- 16,942
Nimeona hapo jamaa na vvti. Maneno ya mtaani yanaenea kwa nguvu kuliko actual facts.Na wengi ndio hii inawachanganya. Hasa hasa wakiona vvti.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeona hapo jamaa na vvti. Maneno ya mtaani yanaenea kwa nguvu kuliko actual facts.Na wengi ndio hii inawachanganya. Hasa hasa wakiona vvti.
Mkuu uko sahihi, mleta maada anajaribu kupotosha watu makusudi au hajui anachoongea.Wewe ndio mpotoshaji mkuu. Hizo kilowatt au bhp ni kipimo cha nguvu ya gari. Haina uhusiano wowote na umeme. Wapotoshaji wengi ndio huwa wanasema eti gari hii au ile umeme umeme mwingi mafuta kidogo.
Gari zote hapo ulizotaja hamna hata moja inayotumia umeme kupata nguvu ya kutembea hizo zinatumia petrol. Umeme unatumika kuendesha mifumo mingine wala sio kusukuma engine.
Gari za umeme ni hybrids ambazo zinahio engine ya petrol na electric motor ambayo inaendesha gari ikiwa mwendo mdogo, ikiwa mwendo mkubwa petrol engine inatake over. Au kuna gari ambazo ni electric kabisa ambazo huwa zinachajiwa betri zake ambapo utaendesha mpaka betri ikikaribia kwisha unachaji tena.
Cc za gari sio sababu pekee ya gari moja kutumia mafuta kuliko ingine ila ulichosema na wewe umepotosha.
Gari inaendeshwa na msukumo wa pistons ambazo zinasukumwa na mlipuko kati ya oxygen na mafuta. Ili iwe na nguvu inabidi msukumo huu uwe mkubwa. Je msukumo(mlipuko) huu unakuwaje mkubwa?kwa mfano bmw mini cooper.kina cc chache halafu dashbord inasoma 240km.
hapa lazima kuna umwagaji wa tui.
Huwa nasikitika sana nikiona mtu ni dereva by profession halafu hana clue ya vitu vidogo. Huo umeme unazalishwa na nini? Kuna generator humo au ? Gari za sasa hivi zina effiency nzuri kwenye mafuta kutokana na kukuwa kwa teknolojia. Gari inaweza kuwa cc4500 hybrid maanake ina electric motor inayotumika wakati gari iko kwenye mwendo mdogo kwahio mafuta hayaendi kabisa.Mimi Nilikuwa nafanya kazi mahali kama Dereva Binafsi, Boss wangu alikuwa na Gari mbili Moja ni LAND CRUISE VXR 2016 Na LANDCRUISE TX 2015 Model,
Tx ya Mwaka 2015, petrol Ni balaa haitumii ufunguo inawaka kwa Batani tu hata Hivyo nilishangaa sana licha ya kuwa na engine kubwa inatumia mafuta kidogo sana.
KAWE BEACH- BAGAMOYO ni Mafuta ya 30,000 kwenda na kurudi na yanabaki mengine ya Kwenda Sinza- na kurudi kawe, Licha ya Mafuta kuwa 2350 per litre.
2. KIBITI PWANI - KAWE mafuta nilitumia ya 50,000 kwenda na kurudi na njiani speed kama nakimbiza Amburance..
Kwahiyo naamini kabisa kwamba Kuna gari licha ya kuwa na Engine kubwa lakini umeme unazalishwa Na kutumika mwingi zaidi ya Mafuta.
KweliMimi Nilikuwa nafanya kazi mahali kama Dereva Binafsi, Boss wangu alikuwa na Gari mbili Moja ni LAND CRUISE VXR 2016 Na LANDCRUISE TX 2015 Model,
Tx ya Mwaka 2015, petrol Ni balaa haitumii ufunguo inawaka kwa Batani tu hata Hivyo nilishangaa sana licha ya kuwa na engine kubwa inatumia mafuta kidogo sana.
KAWE BEACH- BAGAMOYO ni Mafuta ya 30,000 kwenda na kurudi na yanabaki mengine ya Kwenda Sinza- na kurudi kawe, Licha ya Mafuta kuwa 2350 per litre.
2. KIBITI PWANI - KAWE mafuta nilitumia ya 50,000 kwenda na kurudi na njiani speed kama nakimbiza Amburance..
Kwahiyo naamini kabisa kwamba Kuna gari licha ya kuwa na Engine kubwa lakini umeme unazalishwa Na kutumika mwingi zaidi ya Mafuta.
Wewe ndio mpotoshaji mkuu. Hizo kilowatt au bhp ni kipimo cha nguvu ya gari. Haina uhusiano wowote na umeme. Wapotoshaji wengi ndio huwa wanasema eti gari hii au ile umeme umeme mwingi mafuta kidogo.
Gari zote hapo ulizotaja hamna hata moja inayotumia umeme kupata nguvu ya kutembea hizo zinatumia petrol. Umeme unatumika kuendesha mifumo mingine wala sio kusukuma engine.
Gari za umeme ni hybrids ambazo zinahio engine ya petrol na electric motor ambayo inaendesha gari ikiwa mwendo mdogo, ikiwa mwendo mkubwa petrol engine inatake over. Au kuna gari ambazo ni electric kabisa ambazo huwa zinachajiwa betri zake ambapo utaendesha mpaka betri ikikaribia kwisha unachaji tena.
Cc za gari sio sababu pekee ya gari moja kutumia mafuta kuliko ingine ila ulichosema na wewe umepotosha.
Uko sahihi. Lakini kwa sasa hivi na gari alizotaja hamna ambayo sio EFI.Alichikiongea jamaa ni sahihi ila amefanya misconception katika kupresent.
Miaka ya nyuma mifumo ya fuel injection ilikuwa ni full mechanical ambapo kwa sehemu kubwa walikuwa wanatumia Carburator. Kiasi kikubwa cha mafuta kilikuwa kinapotelea kwenye carburator hivyo hata kama gari ina Engine capacity ndogo lazima ionekane inakula mafuta.
Recently umekuja mfumo wa Electronic fuel Injection (EFI). Huu ni mfumo ambao ni computerized yaani unauwa na sensors, actuators na ECU. Ni mfumo wa injection ambao una efficiency kubwa sababu mafuta na hewa vitaingia kwenye engine katika amount ambayo inahitajika tu.
Kwa maelezo hayo siyo kitu cha ajabu kukuta gari ya cc 1000 ambayo ni inatumia carburator inakula mafuta zaidi au sawa na gari ya 1400cc ambayo inatumia EFI.
Nadhani nimeeleweka.
Wewe nawe unachanganya watu. Kama gari siyo hybrid basi nguvu ya kuendesha gari inatoka kwenye Engine.Mimi Nilikuwa nafanya kazi mahali kama Dereva Binafsi, Boss wangu alikuwa na Gari mbili Moja ni LAND CRUISE VXR 2016 Na LANDCRUISE TX 2015 Model,
Tx ya Mwaka 2015, petrol Ni balaa haitumii ufunguo inawaka kwa Batani tu hata Hivyo nilishangaa sana licha ya kuwa na engine kubwa inatumia mafuta kidogo sana.
KAWE BEACH- BAGAMOYO ni Mafuta ya 30,000 kwenda na kurudi na yanabaki mengine ya Kwenda Sinza- na kurudi kawe, Licha ya Mafuta kuwa 2350 per litre.
2. KIBITI PWANI - KAWE mafuta nilitumia ya 50,000 kwenda na kurudi na njiani speed kama nakimbiza Amburance..
Kwahiyo naamini kabisa kwamba Kuna gari licha ya kuwa na Engine kubwa lakini umeme unazalishwa Na kutumika mwingi zaidi ya Mafuta.
Uko sahihi. Lakini kwa sasa hivi na gari alizotaja hamna ambayo sio EFI.
Nakuunga mkono,ziko gari cc kubwa ila consumption ndogo,ila pia kuna factors nyingi zinachangia ulaji wa mafuta mfano mzigo,matairi e.g upana,upepo mdogo n.k,ukanyagaji wa mafuta,ukubwa wa gari,service,land terrain,upepo,matumizi ya AC,gear unayotembelea n.k...Mimi Nilikuwa nafanya kazi mahali kama Dereva Binafsi, Boss wangu alikuwa na Gari mbili Moja ni LAND CRUISE VXR 2016 Na LANDCRUISE TX 2015 Model,
Tx ya Mwaka 2015, petrol Ni balaa haitumii ufunguo inawaka kwa Batani tu hata Hivyo nilishangaa sana licha ya kuwa na engine kubwa inatumia mafuta kidogo sana.
KAWE BEACH- BAGAMOYO ni Mafuta ya 30,000 kwenda na kurudi na yanabaki mengine ya Kwenda Sinza- na kurudi kawe, Licha ya Mafuta kuwa 2350 per litre.
2. KIBITI PWANI - KAWE mafuta nilitumia ya 50,000 kwenda na kurudi na njiani speed kama nakimbiza Amburance..
Kwahiyo naamini kabisa kwamba Kuna gari licha ya kuwa na Engine kubwa lakini umeme unazalishwa Na kutumika mwingi zaidi ya Mafuta.
ZIPO NYINGI SANA MKUUUkiacha izo gari ulizoweka hapo zipo nyingine zenye cc650 zinazotumia mafuta kidogo?????
Passo na Raum ni gari nzuri zaidi kwa mafuta. Ingawa passo inahitaji service ya mara kwa mara na uangalizi wa karibuSawa kwahiyo tununue passo na raum..
Samahani kwa kuchelewa kujibu boss.Ningependa kufahamu gari zenye cc 1000 mpaka 1450 ambazo si ghali, utumiaje wake wa mafuta ni nafuu pia spea zake upatikanaji wake uwe nafuu pia resell value yake isiyoisha kirahisi
Pia kirikuu zenye cc 650 je ulaji wake wa mafuta na teknolojia yake ikoje
Kwa petrol itaenda wastani wa km 5, diesel ni wastani wa km 9Vpi kuhusu cc 4500
Suzuki Carry kwa kuagiza inafika kwa 8m, ni gari ndogo kwa ajili ya shughuli ndogo ndogo za ubebaji mizigo, haihitaji mzigo mzito kwa kua pia chasis yake ni rahisi kukatika na haihitaji njia mbovu sana kwa kua inawahi kuchoka na hata kuua turbo kwa zile zenye turbo na pia huweza kuharibu gia box na 4while yake mapema iwapo inatumika sana njia mbovu.Mimi naomba sifa za Suzuki carry tofauti
Bei
Ubora
Mafuta
Kwa kweli ushuru uko juu. Muhim sana kabla hujaamua kuagiza gari flani uhakikishe umeipigia hesabu vizuri ili isije kukusumbua kwenye ushuru. Faham ushuru kabla ya kuagizaAcha kututia moyo, gari unanunua milioni 3 lakini hadi unaitoa port ni 14m, si mambo ya ajabu haya?
Shukrani kwa mfano huo hai kabisa. Technolojia imebadirika na kwa gari za hybrid mafuta ni kidogo zaidi.Mimi Nilikuwa nafanya kazi mahali kama Dereva Binafsi, Boss wangu alikuwa na Gari mbili Moja ni LAND CRUISE VXR 2016 Na LANDCRUISE TX 2015 Model,
Tx ya Mwaka 2015, petrol Ni balaa haitumii ufunguo inawaka kwa Batani tu hata Hivyo nilishangaa sana licha ya kuwa na engine kubwa inatumia mafuta kidogo sana.
KAWE BEACH- BAGAMOYO ni Mafuta ya 30,000 kwenda na kurudi na yanabaki mengine ya Kwenda Sinza- na kurudi kawe, Licha ya Mafuta kuwa 2350 per litre.
2. KIBITI PWANI - KAWE mafuta nilitumia ya 50,000 kwenda na kurudi na njiani speed kama nakimbiza Amburance..
Kwahiyo naamini kabisa kwamba Kuna gari licha ya kuwa na Engine kubwa lakini umeme unazalishwa Na kutumika mwingi zaidi ya Mafuta.
Shukrani bossAisee, mzee umevunja vunja sana hapo.
Ni hivi, iIi injini ya gari ifanye kazi vizuri (efficient) inatakiwa kuwa na uwiano mzuri kati ya mwendo na mzunguko wa injini (revolution per second - rpm). Kwa kiasi kikubwa uwiano huu hufanywa na transmission (gearbox).
Hata hivyo tukiweka kila kitu sawa, kama unasafiri kwa mwendo mkubwa au unapanda mlima, injini ndogo itatumia mafuta mengi kuliko injini kubwa kwa kuwa injini ndogo itabidi izunguke sana (high rpm) ili kutengeneze msukumo sahihi (torque) kuiwezesha gari kwenda mwendo huo.