The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Kipimo chako cha kumjua mwenye akili sana ni kipi?Nilikuaga nakuona una akili sana ila leo ndio nimeamini kua una inferiority complex kama wengine wanavyosema
gt the fvk away from me.Hujai choka kuandika magazeti,.
Asa tufanye kitu kimoja ili kuokoa mda,. Niambie kitu gani kwenye comment yangu kimekukwaza nifute sasa hivi kipenzi changu,.
Sipendi ukiumia ujue😔
Mbona makasiriko sasa rafiki,. Sipendi ukwazike sio wewe tu,. Na kila mtu sipendi akasirike kwajili yangugt the fvk away from me.
Ona sasa😂😂😂😂Kipimo chako cha kumjua mwenye akili sana ni kipi?
Unaongelea akili za kwenye jambo gani? unaongelea akili zipi?
Sijawahi kumuomba mtu anione nina akili wala sihitaji hilo,kwahiyo mtu akiwa tofauti kimtazamo na wewe anakua hana akili?
Hiyo inferiority complex niliyo nayo ipo kwenye jambo gani?
gt the fvk away from me.
Another day,somewhere else,Mbona makasiriko sasa rafiki,. Sipendi ukwazike sio wewe tu,. Na kila mtu sipendi akasirike kwajili yangu
Thats why nimekuuliza muwakilishi kipi kinakwaza nifute kwa niaba ya wote😔
Jamani wewe,. Unataka nini😬😂😂Another day,somewhere else,
Endela tu kuleta dharau.
Huna akili ya kujibu maswali yangu,umebaki kujichekesha chekesha tu,Ona sasa😂😂😂😂
Hapa kweli kazi ipo,. Jaribu upate chai kwanza pengine ukirudi utaona ulikua unapoteza mda kuandika yote haya
Ni maoni yangu tu lakini
Hii comment yako ndio imeeleza kila kitu sasa maana ulikua unazunguka sanaaa,.Huna akili ya kujibu maswali yangu,umebaki kujichekesha chekesha tu,
Sio kila mwanaume hapa jf atakubabaikia kama hao wanaokuanzishia vi thd,na hili ndio tatizo lenu,ukiheshimiwa kidogo tu na watu wakakujali,unaanza dharau.
Hili shoga lipumbavu sana,. Wacha niende nae mdogo mdogo leo naona kajiingiza kwenye 18
Muulize Mamako ndio ananijua vizuri tu,huenda mimi ndio Babako sema anakuficha tu.Hili shoga lipumbavu sana,. Wacha niende nae mdogo mdogo leo naona kajiingiza kwenye 18
Familia imepaniki kwa kuona wana wameushtukia mchezo.
Labda kweli,. Ila sidhani kama unauwezo huo wa kusimamia kucha hadi azaliwe mtu,.Muulize Mamako ndio ananijua vizuri tu,huenda mimi ndio Babako sema anakuficha tu.
Uzima wangu anaujua Mamako,muulize kwa upole,hawezi kukuficha,Labda kweli,. Ila sidhani kama unauwezo huo wa kusimamia kucha hadi azaliwe mtu,.
Wewe sio mzima,. Comments zako zinaeleza kila kitu
Ni kawaida yenu kutokujiamini
Ona sasa😂😂,. Nikuache kwanza uandike nakuja kukujibu,. Andika tu yote usiache kituUzima wangu anaujua Mamako,muulize kwa upole,hawezi kukuficha,
Pia usichoke kuzunguka kwenye nyuzi zote za JF ili kujibu msg unazoziita za kipuuzi dhidi ya member wanaoleta mada.
Uje na familia yako yote,kama hawana simu wanunulie uwafungulie ID hapa JF ili wakusaidie coz nitakubadilishia dozi kila baada ya muda,peke yako dozi itakuzidia,Ona sasa😂😂,. Nikuache kwanza uandike nakuja kukujibu,. Andika tu yote usiache kitu
Me ninywe kwanza chai ,. Na wewe nakusihi ule kabisa ili tukija tuwe na nguvu za kuandika
Sawa,. Nimelipokea kwa mikono miwiliUje na familia yako yote,kama hawana simu wanunulie uwafungulie ID hapa JF ili wakusaidie coz nitakubadilishia dozi kila baada ya muda,peke yako dozi itakuzidia,
Usisahau kumuomba mleta mada posho coz unajitoa kweli kweli,au ndio upo mawindoni?