Elimu ilifia Chuo Kikuu au ilizikwa chuo kikuu?

Bila majadiliano nitajua unawaza nini. Ni mpumbavu tu ndiye anayeweza kukebehe majadiliano na midahalo
 
Hao Wazee ni wahafidhina tu. Badala ya kujadili kuboreshwa taaluma vyuo vikuu, wanataka mijadala ya kisiasa vyuo vikuu. Waache uhafidhina. Kila zama na kitabu chake. Hata kwa nchi zinazotuzunguka hakuna mijadala ya kisiasa vyuo vikuu. Tupambane kuboresha taaluma tupate wataalamu na siyo kuwaweka vijana wadogo wa vyuo vikuu katika ubusy wa kujadili siasa. Huko vyuo kuna nafasi ya mtu kujiunga na matawi ya vyama vya siasa. Hizo zibaki kama forums za yeyote kusema.
 
Aiseee. Another foolish of the making of Lucas mwashambwa in the JF wilderness. So sad.
 
Bila majadiliano nitajua unawaza nini. Ni mpumbavu tu ndiye anayeweza kukebehe majadiliano na midahalo
Nyie chawa akili zenu zimeshikiliwa na mabwana zenu hamuwezi kuwa na mijadala yenye tija.
Ndio maana viongozi wenu wanashinda JF kuchota busara za wenye akili huku nyie chawa mnalabishwa asali!
 
Vyuo vikuu vilizalisha wachambuzi na watafiti. Siku hizi vinazalisha ma-chawa na wapiga debe. Hata mbunge mwenye darasa la saba anaajiri wapiga debe kutoka chuo kikuu. Nampongeza.
Enzi za kina Dr Bashiru na Kina Prof Mkumbo.
Lakini leo akina Bashiru na Mkumbo wanafunga watu wanaohoji na kukosoa.

Kweli elimu ilifia huko.
 
Miziki ya kina mondi ya Tema mate iteleze Pangoni na Kulamba Mitaroni.......ccm wanafundishana ushoga tupu
 
lakini sasa Mzee wetu huyu ambae kwakeli tunakapenda sana na tunamuheshimu sana ila sasa siasa imemchakaza sana phyisically and mentally na hatuna namna tutasonga nae tu pole pole...

Huko kwenye vyama ni platform pia vijana waanzishe mijadala iwasaidie kuongeza huo uwezo wa kujieleza na kuhoji anaodai Mzee wetu ati wahitimu wa vyuo vikuu hawana...

Mbona rahisi tu
 
Bila majadiliano nitajua unawaza nini. Ni mpumbavu tu ndiye anayeweza kukebehe majadiliano na midahalo
mkajadiliane kwenye vyama vyenu huko ni platform nzuri ya majadiliano na midahalo
 
Ofcourse there is no doubt that fools now prevail all over the country. That's mere truth. Tukubaliane tu na Askofu Bagonza.
if you don't want to take part in political administration don't blame to be ruled by a fool...

jamii imeathirika na siasa za mihemko na kuzira. Ujasiri wa kudhihaki na saa zingine kutukana na kubeza, haitasaidia.

Wazoefu katika siasa ndio wanasonga mbele zaid kujiimarisha kwenye nafasi zao, kijizatiti na kukita mizizi zaidi ili wasimame imara zaid na kutawala vizur zaidi....
 
Sahihi ni vyuo vya kuzalisha majambazi dhidi ya wananchi waliowasomesha.Elimu Yao imetufanya maskini zaidi ya miaka 60 ya uhuru.
 
kama hakutakua na mijadala yenye tija CCM, bila shaka ya Bavicha au ngoma ya vija ACT inaweza kua na tija. Na hiyo ni kama ambavyo mijadala ya udsm na mzumbe haiwezi kuwa sawa na huwezi kusema ya huko ina tija ya kule hakuna, unless umeathirika spiritually na saikolojikali na siasa za vyama.

Hizo mbinu za vyama kuwafunda vijana ndizo zinazofanya vyama kutawala na kijizatiti zaidi mamlakani kwa uhakika zaidi. Itategemea uelewa
 
Ndio hao wajuu wake anawalea kwa kuwaambia wajirekebishe badala ya kujipendekeza kwa watawala.
hawaambii anawabeza kwa kebehi na madharau wao, walezi na wazazi wao.

Wajukuu waerevu wamechanuka, wako rada, wamestukia janja janja ya Babu
 
Hiyo Elimu ya Tz inahitaji kuijiongeza hata hao waliosoma zamani walikuwa wanajisomea vitabu kutoka Sehemu na sio kutegemea maarifa ya mwalimu tu.
 
Katika majadiliano jadidi huwa ndio chanzo cha kujenga hoja zenye ubunifu ndani yake. Lakini bila kujua unawaza nini ni vigumu kupata views zako. Hivyo basi tutafute jukwaa la vijana lenye maona endelevu kama wewe tujenge nchi yetu
Je huoni huyu mwanzilisha wa jf kafanya la maana kuanzia hili jukwaa na anafaa kupewa pongezi, huu ndio usomi ndio maana mwanzilisha wa Facebook alipata Phd kutokana na ubunifu zake.

Yule mzee ni educational ego han cha maana na hana mchango zaidi ya lopo lopo ....Kila siku kuona wenzie wajinga ila hana cha maana amefanya na elimu ya kizamani.
 
Inasikitisha na kushangazq kuwa ,licha ya kujifanyq unajua ,huelewi maana na umuhimu wa Siasa kwa Nchi!
 
😂😂Hapo umewashika ni hao hao maprofessor na wapiga dili ,sisi ilikuwa ukitaka kitini nenda stationary fulani hapo tunajaaa watu nyomi.

Hao waliopata elimu mwanzo mmoja wapo ndio huyo Ulimwengu wao ndio wameharibu elimu kwa tamaa zao ,kwa vile hawana uwezo zaidi ya kujua kingereza.

Zile handouts ukisoma sana unafaulu kwa alama za juu ila hamna kitu utafnya ukija kweny uhalisia mambo ni mengi.
 
Inasikitisha na kushangazq kuwa ,licha ya kujifanyq unajua ,huelewi maana na umuhimu wa Siasa kwa Nchi!
Kila mwanasiasa ni tapeli , nakuonea huruma dogo bado hujajitambua utakufa maskini kwa uchawa wa siasa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…